@Mama malaika mtu kama huyo akija kwangu cha kwanza ni kuangalia umri wake kama amevuka miaka 18 na mazingira ni kama hayo siwezi kumtetea kwani atakuwa amekubali mwenyewe(she consented) kwa kufanya Invitation to treat.Hivyo kwa kweli nitamtetea mwanaume aliyefanya kazi hiyo kwani mazingira ndiyo yamemshawishi baada ya kushawishiwa na huyo mdada.Kama ni under 18 mwanaume nitamtafutia ground za kupunguza adhabu lkn naye apate adhabu kwa kushindwa kujizuia matamanio kwa bint mdogo.
huu ni urembo kama urembo mwingine wowote ambao mwanamke huwa anahufanya ila ukiwa nao au usipokuwa nao hauleti madhara yoyote kwa muuhusika.ni mambo ya watu wa pwani haayaa ,wenye kujua mahaba shanga zinaleta raha ya ajabu,eeebuuu watafute wakina mama wanaojua vitu hizi wakupe darasa kdg