Tulonge

Mke wangu siku hizi mapenzi sijui niseme yameongezeka au sijui niseme ana nikomoa nasema hivi kwa sababu ndani ya wiki kama 3 zilizopita amekuwa akinilazimisha nile mzigo kila siku.

Hapa nilipo kichwa kinaniuma kutokana na mabao nitoayo kila siku. Jana nimeona nivunje ukimya baada ya kuniamsha usiku wa wa ma8 nile mzigo, nikamueleza mke wangu utaniua naomba tupumzike hata siku 3 mbele. Target yangu ni kuwa baada ya siku 3 anatarajia kuingia kwenye siku zake so ntapata mapumziko ya kutosha.

Cha ajabu mke wangu kaanza kulia na kulalamika kuwa haamini kauli yangu ya kukataa kula mzigo, ilinibidi nimmbeleze kisha nikampoza na kamoja. Hapa nilipo nipo njian natoka job ameshanitumia sms ananiambia eti niwahi. Anahamu ya dudu langu, nimekaa kimya sikumjibu. Kanipigia simu anasisitiza alichokiandika kwenye sms yake tena kwa sauti ya majonzi.

Nampenda mke wangu ila ananichanganya kwa vile tabia hii hakuwa nayo mi ndio nilikuwa initiator wa mchezo wetu. Hebu waungwana naombeni mnisaidie itakuwa kapatwa na nini hadi amekuwa hivi? Tabia hii kaanza tangu niliporudi kutoka mkoani Dodoma ambambo nilikaa kule kwa miezi 3 bila kushiriki nae.

Views: 1424

Replies to This Discussion

kaka husiangaike, paka pilipili, ikimuwasha atuliza" imekuwaje?" mjibu "hizi ni mbegu zile za mwisho kabisa tuna zikamua kwa hiyo tusubiri hadi baada ya siku 3 zijae."

hivi wewe Severin unaumiza kichwa kuwa hakuwa na tabia hiyo sasa ni kwambie kitu huyo alikuwa na kidumu huku nje kinamkuna mara kwa mara ya wezekana wametosana, sasa wapi atakunwa hakuna ndo hivyo anakupeleka mputa mputa hebu muulize vizuri! ha ha ha ha ha.................

Hahahahah tehtehtehte  jamani mbavu zangu Severin sijamsikia siku nyingi dah! nimepasuka mpaka nikashtuwa watu Isee sijawahi kuona mwanaume analalamika kuzidiwa na dozi dah! kwavile huyo ni shemejiangu halafu nami nimeshaoa ila ningekuwa sijaoa ningekwambia nikutunzie ndoa yako Kaka Severin tena ningekaa hapohapo kwako na shemeji wala asingekusumbuwa kabisaa hahahah sema dah! pole sana inaelekea ulivyokuwa dom kuna mtu alikuwa anatembeza bakora kila siku tena kutwa mara 3 kama dozi ya panadol hahahahah ila leo umeniacha hoi.

Severin wewe chiboko. Ulikuwa kimyaaaa sasa mekuja na kufungia mwaka. Ha haa haa haaa haa haaaaa...
Yaelekea hufanyi matizi kutosha ndio maana wazidiwa dose. Ukifanya mchezo utajikuta majirani wanakusaidia kumwagilia bustani. Ha haa haaaa

Teh teh teh wewe nwache huyo Severin, kuna vidume vinamsikilizia tu. Mtu kama Omary najua ameshaanza mtafuta huyo dem/mke wa Severin, anajua atampata kirahisi bcoz haridhishwi na dozi ya Severin.

Severin njoo mpenzi wangu akupe somo. Wangu ni mtaalam sana. Akikuelekeza kile ambacho huwa ananifanyia mimi utaelewa, na ukirudi kwako utamkamua mkeo hadi aombe maji ktkt ya game hhahhhahahaa

Doh! Humu ndani kweli kuna vichaa Moreen una maneno makali kama mtoto wakiume? Au umekulia mwananyamara,tandale manzese kwa mfuga mmbwa huko ndio kuna midomo isio na zipu lol sorry kama nimekukwaza ila loh! Pongezi kwako.

Hahahahaaa hakuna cha maneno makali wala nini, kwani kipi usichokijua hapo? @ Omary. Au na wewe huwezi mkamua mkeo kama Severin? Njooni wote mfunzwe na mume wangu ili mkawape dozi za ukweli wake zenu

Weeee usirogwe ukaingia huu moto utamkimbia shemeji bure hii yaani mwenyewe utamuona bwege lol kama yupo humu ndani mbona atavunja computer upigwe malufuku kuonekana tulonge lol na ukipotea tu tunajuwa ushatemewa biti

teh teh teh Omary naona Moreen atakutania. Hajui wewe una Certificate ya kunjunjana ya chuo flani huko US

Hahahah @Dis sijaipatia hapa nimeipatia Tanga kulikozaliwa .... sikiliza nyimbo ya mwana FA na Linah

RSS

© 2023   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*