Omba omba inapozidi kwa nchi kama Tanzania kwa Mataifa ya Nje.
Ndipo ,utu wetu, heshima yetu inavyopotea.
Hizi fikra zangu baada ya kuzingatia,
Nadhani, wametuchoka wenzetu- ndio inapokuja na kejeli ili tuwasaidieni tuhakikishe mnaridhia "HAKI YA USHOGA" na kauli ilipotoka tukashindwa mbele yao kujibu- kelele zikaja mara baada ya kurudi safari.
TUMECHOKWA KWA HAYA:
Na mengi kwa malukuki- KIASI NI NDOTO KUONA WAPI TUNAELEKEA.
Jee ! haitoshi haya ni kujivunjia heshima na hadhi kwa taifa letu,nini kifanyike tuondokane na OMBA OMBA.
Nawasilisha ......
Tags:
Hii ilinipita wapi mkuu,sikuiona kabisa. Ni kweli lazima ukubali kuwa mtumwa endapo utaendekeza kuomba.Pia lazima ukubaliane na kila takwa la boss wako.
Naungana na Kaka Tulonge.. Kama umezoea "kulishwa" lazima upangiwe "mashariti tu" na huna mamlaka ya kuchagua aina ya chakula kitakacho andaliwa... Hatakama "kinyesi" kitawekwa mezani huruhusiwi kupinga lazima ule!! Samahani kwa kutumia maneno "makali".
Natumaini mmenielewa namaanisha nini hapo!!
© 2022 Created by Tulonge.
Powered by