Tulonge

 Kanisa limemuajiri mfuasi  kazi kufuga -ng'ombe,mbuzi na kondoo na kunawiri vizuri.

Padri aligeuka roho akawa anamchukua mke wa mfuasi pale anapoondoka kwa masiku  kwenda safari ya kununua madawa ya mifugo.Samaria wema wampacha habari hizi kuwa mali yako inaliwa kaka.

 

Basi kisasi cha mfuasi akaanza kuwauza wanyama kiaina mpaka mfugo wote ukapotea kwenye mazingira yasioleweka.

Sharti la Padri lazima mfuasi apelekwe pahala ndani ya kanisa ili aungame - MAZUNGUMZO YALIKUWA HAYA :


Sehemu - A

PADRI: Unajua ulipo ni pahala takatifu

MFUASI: Ndio baba

PADRI:unatakiwa maneno yote unenayo yawe ukweli mtupu

MFUASI :ndio baba

PADRI:nani aliepoteza ama kuiba mifugo ya nyumba ya mungu

Alitoa macho makavu pasi kujibu neno

PADRI:Mbona hujibu

MFUASI:baba ,hakika utukufu wa pahala hapa yako maneno mengine yasikiki na kama huamini jaribu na wewe uje hapa nikuulize kama huamini.

Sehemu - B

MFUASI: ewe baba mtukufu ukijua uko pahala takatifu ?

PADRI : nikijua hilo ,asifiwe roho mtakatifu....

MFUASI: kama ukijua hilo unatakiwa kutamka ukweli wako kutoka moyoni ?

PADRI : hapana shaka

MFUASI: ni mara ngapi ushafanya nae mke wangu ikiwa mie sipo  ?

PADRI : alikauka kimya na kushangaa shanga

MFUASI: kwa ukali na macho kutolea padri.mbona hujibu kitu ?

PADRI:alikurupuka " Aleluya bwana asifiwe ,ni ukweli usiopingika maneno hayasikiki ni utukufu wa bwana ,tena kaka tumebahatika sisi.

Mfuasi alitoweka hadithi ikaishia hapo ,sijui nani zaidi PADRI NA MFUASI !!!!

 

Views: 411

Reply to This

Replies to This Discussion

Hahahahhaahahahahahahahahahahaha! teheteheteheteheteeteehetehetehee!
hahhaahaaaaa mfuasi boya huyo,mimi ningemkata mateke mapamaaaa kabla kuulizana maswali ya ajabu ajabu

Reply to Discussion

RSS

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*