Tulonge

Ndomaana watu husema madhara ya pombe ni zaidi ya faida zake? Walevi/wanywaji mnasemaje?

Views: 453

Reply to This

Replies to This Discussion

Hahahahahaaaa amekoma ubishi. Pombe ni hasara hakuna faida
ha ha ha aha akiiiona hii mabagala walahi lazima akutusi tehe tehe tehe
Mmmh.. ukifikia style hiyo we basi tena. hahahahaaaa
Hahha hahha duh imegonga pabayaaaaaaaaaa
looooooool.... du wanywaji muwe waangalifu mkishalewa.. hii ni noma:))
Aisee alamba nimeikubali Dis, yani hapa ofisini tumeipenda sana.
Hahahhahaaa inaweza ikasababisha walevi wakaacha pombe

Reply to Discussion

RSS

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*