Tulonge

RAIS MWENYE SIFA HIZI NI RAIS WA KWELI AU KITUKO?

Haya tena wandugu katika peruz peruz zangu nimekutana na habari nzuuuri za kukufanya wewe na mimi "TUTAFAKARI TUCHUKUE HATUA SAHIHI NA TUKAPIGE KURA "

1.Rais wa kwanza duniani kudanganywa vibaya mno na wasaidizi wake
2.Rais wa kwanza kuwa na rekodi ya kuanguka anguka mbele ya kadamnasi
3.Rais wa kwanza duniani kufanya safari nyingi za nje ya nchi ndani ya
mwaka mmoja tangu aingie madarakaini
4.Rais wa kwanza duniani kutamka hadharani kwamba hajui umaskini wa watu
wake unatokana na nini.
5. Rais wa kwanza duniani kuchakachuliwa mafuta kwenye gari yake ikazima
barabarani
6. Rais wa kwanza anaechukulia wingi wa magari kama kipimo cha maisha
bora!
7. Rais wa kwanza duniani anaepata ulinzi wa nguvu za Giza.(mnajimu)
8. Rais wa kwanza aliyesema watoto wadogo wa shule kupata mimba ni
kiherehere chao....
9. Rais wa kwanza anayeogopa mafisadi.
10.Rais wa kwanza duniani aliyetumia mabango yote ya biashara nchini
kwake kujinadi wakati wa kampeni mpaka picha za kampeni

11. Rais wa kwanza duniani mwenye mvuto wa sura na si mvuto wa sera.

Views: 222

Reply to This

Replies to This Discussion

Duh Jamaa ana rekodi kibao lakini zote NEGATIVE!!!!!!
DISMAS NA MLARI MMEFANYA TULONGE KUWA NI KIJIWE CHA CHADEMA,ILA HUMU TUPO WENGINE TLP,NCCR,CCM,CUF NK ,WHY CHADEMA TU ?BADILISHENI TULONGE IWE CHADEMA BASI?DIS IS 2 MUCH NOW!!SORRY KAMA NIMEKOSEA.
Hhahahahahahaaaa mkuu Nyau cyo mm niliyeanzisha huu mjadala au ishu nyingine zozote za CHADEMA, bali ni wadau wengine ndiyo wanaofanya hivyo. Kama huu mjadala umeanzishwa na Severin. Hata wewe unaruhusiwa kufanya kampeni ya chama chochote mkuu.

Reply to Discussion

RSS

© 2020   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*