Toa mawazo yako, maoni yako kuhusiana na watoto waishio mazingira magumu na watoto yatima.
Tags:
NDIYO!! Watoto yatima na waishio mazingira magumu wanahaki sawa kama watoto wengine. Wana haki ya kupata elimu bora, haki ya kupata chakula chenye lishe, Haki ya kupata mavazi na mahalapa pa kuishi (nyumba). Sote tuna wajibu wa kuwasaidia watoto hawa kwa kile kidogo Mwenyezi Mungu alichotujalia.
NDIYO.!!! PAMOJA TUNAWEZA!!!
safi sana Dixon
mtoto ni mtoto awe yatima au sio yatima
harakati zinaendelea
© 2021 Created by Tulonge.
Powered by