Tulonge

Jamani nataka kuja na stahili ya peke yangu katika historia ya Tanzania. Mimi ikifika wakati nikaamua kuwa na mwenza, watu watakunywa na kula bure. Sitohitaji mchango wa mtu yoyote, badala yake nitagharamia sherehe yangu mwenyewe. Sitataka harusi kubwaaa ya kukata na shoka, sitataka watu wengi sana, kwa hiyo sitotaka lawama ya "kwa nini hukunialika".

Views: 779

Reply to This

Replies to This Discussion

Tehe-tehe-tehe pole dada kwakudhani umekuja na style mpya kumbe zilipendwa, mbona huo ndio ulikuwa utaratibu wa zamani, wakati wazee wetu wakiona hakuwa na vikao au kadi za michango. ningekuelewa kama ungesema unarudia utaratibu wa zamani.

ANY WAY BIG UP kwa uamuzi huo wakuwaiga mababu zetu, usiishie hapo nenda mpaka kwenye mavazi na namna ya kujipodoa huenda ukawa kioo cha jamii

Hii nzuri sana! Hata mimi michango ya harusi inanikera sana. Na ukweli mtu asije kunipa kadi ya mchango wa harusi.

Hongera, nalo neno ila ujiandae kwa utamaduni wa Kitanzania tulozoea au niseme ujamaa ni kuchangia hata kama ni kidogo. So wasipokuja nawe ujiandae kula na kusherehekea peke yako, usilalamike.

Teh teh

Haya!!!

Hilo nalo neno @ Zainabu. Mambo ya kuumiza kichwa kukimbizana na watu kukusanya michango walio aidi hayatakuwepo.
.

Na mimi sihitaji michango kama Zainabu!

Reply to Discussion

RSS

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*