Kuna mfalme mmoja aliwaita wananchi wake akawaambia"NDUGU WANANCHI NIMEWAITA HAPA ILI NIMPATE KIJANA MMOJA SHUJAA ATAKAYE WEZA KUOGELEA KATIKA HUU MTO WENYE MAMBA WAKALI AMBAYE ATAFANIKISHA ZOEZI HILI NITAMPATIA NUSU YA UTAJILI WANGU NA NITA MUOZESHA BINTI YANGU WA PEKEE" ghafla mfalme akasikia ''PWAAAAAAAA" kijana mmoja kaogelea na kutokea upande wa pili mfalme akamwita yule kijana na kumuuliza upo tayali niku kabidhi vile nilivyo ahidi yule kijana akajibu kwa jazba "SIHITAJI CHA UTAJILI WALA KITU CHOCHOTE NAMTAKA HUYO BWEGE ALIYE NI SKUMIA KWENYE MTO"
Tags:
Hahahahahahaaaaa.... ukimwambia arudie hakubali
Ha ha ha ha aha!
© 2023 Created by Tulonge.
Powered by