Wakati mwingine inakuwa ngumu kuamini kama hiki kichwa (Mr 2) kinaweza kuzoea mazingira ya mjengoni kwa haraka,hasa kutokana na kuzoea mazingira ya mtaani sana. Asije akawasilimia wabunge "mambo vp masela" hahahahahaaaaaa. Unadhani ataweza kubadilika?