Tulonge

SIPATI PICHA MR 2 NDANI YA MJENGO (Bunge). Anaweza ku-cope na mazingira haraka?

Wakati mwingine inakuwa ngumu kuamini kama hiki kichwa (Mr 2) kinaweza kuzoea mazingira ya mjengoni kwa haraka,hasa kutokana na kuzoea mazingira ya mtaani sana. Asije akawasilimia wabunge "mambo vp masela" hahahahahaaaaaa. Unadhani ataweza kubadilika?

Views: 728

Reply to This

Replies to This Discussion

ataweza tu kwanini asiweze kwa sababu mtu anaishi kutokana na mazingira ya pale, kwa hiyo hata hivi alivyokuwa mbunge ataweza tu kuishi kibunge bunge.
hiyo simple man mr2 atachenji kwa muda mfupi, then atawachania versi wabunge kuhusu life ilivyo kuwa hadi kwa vijana wa kitaa
Hahahahahaaaa ila nimefurahi sana hiki kichwa kutinga mjengoni. Komaa mwana,sasa hata clouds fm watakuona una akili sana japokuwa walikubania kwenye ile project ya malaria uliyoianzisha then wakakutosa.
Hahahahahahahaha!Ngoja nimpigie simu nimuulize!!!!!!!!!!!!!
huko shughuli pevu mr, sugu , mnyika, mzee wa mapesa, makufuli, ohoooo list not last mzee mrema!!!
yes he can!!!!!
yes ataweza bro
Sipati picha wakati wa kuchangia muswada.Lakini mbona akina mrema wazee wa nnji hii wanaweza.
Kwanza kabisa nampa hongera kubwa kupata nafasi ya kuchaguliwa kuwa mwakilishi wa jimbo lake bungeni ingawa ndio kwanza leo namsikia.
Kuhusu mazingira yake mapya ya ubunge atabadirika tu, sema mwanzoni itamuwia ngumu psychologically, ila baada ya muda kupita ata adjust na kuwa influenced with his peers na ata cope. Tena ujue kuwa na mtu kama huyu bungeni ni vizuri sana sababu anajua maisha ya mtaani na jinsi gani ata influence vijana wenzie kujihusisha na miradi au kuleta maendeleo jimboni kwake.
that isn ,t an issue,to coupe with mazinira
it's better to ask wil rilly going to make changes
stating from his jimbo to mjengoni.and ibiliev he gonna make it mazeeeeeeeeeeeeeeeeeeee..wait and see!!!!!!!!
Kiukweli hata me nimefurahi sana Mr Sugu kuingia mjengoni coz anajuwa vilivyo ukata wa uswazi, pia wabunge wote waliobahatika nkuingia mjengoni awe wa cuf,ccm,chadema nk wanmajuwa kuwa pale mjengoni tumewa2ma cc wakibolonga 2 awamu nyengine 2nawarudisha kijijini wakalime.

Reply to Discussion

RSS

© 2023   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*