Tulonge

Huu ndiyo uwanja wa kuwatakia mwaka mpya mwema 2012 wadau wote wa tulonge. Unaweza dondosha, au andika ujumbe mzuri wa mwaka mpya. Kazi kwako.

 

Views: 1316

Reply to This

Replies to This Discussion

asante sana kiongozi na ww pia.

Asante sana kwa kupata nafasi hii. Kwanza napenda kuishukuru timu yote ya Tulonge pamoja na wana kijiji wenzangu kwa kupata mchango wenu wa kimawazo na burudani. Kupitia kijiji chetu ni mengi sana nimejifunza kutoka kwenu. Elimu inayotolea Tulonge haipimiki kwa "digirii" au "Phd" bali ni zaidi ya hiyo. Asanteni sana kwa kunikubali kwa njia moja au nyingine. Asanteni pia kwa MADA/PICHA nzuri za kuelemisha na burudani pia, kwani kuna msemo unasema ukiweza kucheka na kuwa na furaha basi ni tiba moja wapo ambayo inakuwezesha  kuongeza miaka mingi. Poleni na Samahani SANA kwa yeyote yule ambaye nimemkwaza kwa njia moja au nyingine.. Mimi pia ni binadamu, sijakamilika! Tunajifunza kutokana na makosa alafu tunasonga mbele.. mabaya yote tunayaacha mwaka huu na kuchukua mazuri kwenda nayo mwaka ujao. Najivunia kuwa mmoja wa familia ya TULONGE.

NAWATAKIA KHERI NA BARAKA KATIKA KUKARIBISHA MWAKA MPYA NA KUSHEREHEKEA SALAMA KWA AMANI, UTULIVU NA UPENDO..

HERI YA MWAKA MPYA!

Asante sana boss Mungu atulinde na atuwezeshe kufikia mwaka 2012 salama salimini. Ubarikiwe wewe pamoja na timu youte ya  kijiji (TULONGE)

NAWATAKIA KHERI YA  X-MAS NA MWAKA MPYA WOTE WANA TULONGE, NAAMINI SISI NI DUGU MOJA, KWANI TUPO PAMOJA KWA KILA JAMBO LITUHUSUYO SIS, NA NIMEJIFUNZA VINGI KUPITIA TULONGE, VINGINE SIVIJUI LKN NIMEPATA KUVIJUA KUPITIA KIJIJI HIKI, JAPO SIJABAHATIKA KUKUTANA NA WENGI NA KUWAFAHAMU, LKN NAAMINI IKO SIKU TUTAKUTANA, LKN WENGINE NIMEBAHATIKA KUISHI NAO KABISA NA TUKAPOTEZANA LKN KUPITIA TULONGE TUMEKUTANA TENA NA KUWASILIANA KILA WAKATI, NAUSHUKURU UONGOZI WOTE WA TULONGE MUNGU AUBARIKI UZIDI KUBORESHA ILI KIJIJI KIZIDI KUKUA ZAIDI, NA KUWAKARIBISHA WAGENI AMBAO WATAKAO KUJA NA MAPYA ILI TUZIDI KUELIMIKZ ZAIDI NA KUFUNGUKA KIAKILI NA KIMAWAZO, NAAMINI KIJIJI CHETU NI KAMA BUSTANI YA EDENI YA KILA KILA KITU,                                                                                 KARIBU MWAKA 2012,

Nawatakia wana tulonge wote mwaka mpya mwema. Naomba mnisamehe yote niliyowakosea mwaka huu ili mwaka 2012 tuuanze bila kinyongo chochote. HAPPY NEW YEAR 2012

HAPPY NEW YEAR NDUGU ZANGU WANA TULONGE, MWAKA 2012 UWE MWAKA WA MAFANIKIO KWETU SOTE TUYAENDELEZE MAZURI, TUREKEBISHE MAKOSA, TUSAMEHEANE TULIPOKOSEANA, TUSONGE MBELE KWENYE MAFANIKIO.HAPPY NEW YEAR  2012.

All the best

Mie na familia yangu tunawatakieni Heri ya Mwaka Mpya wenye heri, utulivu na baraka tele. Mungu akipenda mwakani majira ya joto tutaonana Tanzania. Nina wapendeni wote, Mungu awabariki.

 

Peace & Blessings to you all.... One Love!!!!

Asante!!!!!!!!!!!!!! pia na kwa wadau wote happy new year!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

heri ya mwaka mpya 2012...

Nawatakieni wooote wanakiji na familia zenu heri ya mwaka mpya na wenye baraka.....uanze na baraka uendelee na baraka na uishe kwa baraka. Bila kusahaau amani na upendo!!!

HAPPY NEW YEAR!!wish y'all deh best in 2012!

Blessing of JAH be with u all members of Tulonge!!

Reply to Discussion

RSS

© 2023   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*