Karanga za kusaga nizaid ya nazi kwenye mboga na baadh ya vyakula.
Unaungia nyanya chungu- unalia ugal na Wali
Unaungia Bilinganya- unalia wali na Ugali.
Samaki mkavu au alokaangwa hasa sato na sangara, Dagaa- unalia Wali na ugali.
VYAKULA(KWA KARANGA)
>Unaungia Makande ya nyama au bila nyama.
>Unaungia Mihogo ilokatwa vipande vidogo vidogo, yenye samak au bila samaki (unaunga kila ki2 nyanya na ki2nguu then unamimina kwa kande au miogo ambayo ushapika unageuza then unamimin karanga)
MBOGA ZA MAJANI.
Unaungia Chainiz, spinachi, sukuma wiki na majan ya maboga( hapa ni mapenzi yako kuweka nyanya, ingawa nyanya inaongeza utamu)
Note:karanga unazikoroga kwa maji kabla ya kumimina.
**NITAMU SANA**
NAZI
Sato au Sangara mbichi.
>Unamkata samaki vipande vipande.
Unasaga nyanya, unakwangua karoti, unakata hoho na ki2nguu maji unavimiminia kwenye sefuria1, una2pia pilipil bila kuikata unaweka chumvi.
>Then unakuna nazi unachuja matui mawil la kwanza nilile zito la pil ni lile jepesi.
>Unamimina lile tui jepesi ambalo nila2, then unabandika jikon
>lile tui la2 likiishia unamimina lile lakwanza lile zito, unachukua mwiko unatikisa tikisa pemben ili tui lisikatike mpaka lichemke na mboga iwe rost.
NOTE: Usikoroge tui samak atarojeka, tikisa pemben.
**BASI HICHO KITU KWA UGALI weee**
KANDE ZA NYAMA ZENYE NAZI+KARANGA ZA KUSAGA.
Unabandika mahind then yakichemka kwa mda,
Unaweka maharage unaacha vinachemka then
Unaweka Nyama aina ya Nundu au yenye mixer mafuta mafuta vinachemkia, vikiwa tayar kuungwa
>unakaanga viungo pemben yan Nyanya, vi2nguu maji, karoti ilokwanguliwa na hoho. Unamimina kwenye kande then unamimina tui la naz au karanga(ilokorogwa kwenye maji).