Tulonge

Nimeikuta hii sehemu nikaamua kuileta hapa.. utani mwingine bwana.

 


Chuo kipya kabisa cha Kihehe kimefunguliwa Kihesa, Iringa.
(HEHE SKILLS AND TECHINICAL COLLEGE OF LIFE)
Kinatangaza kozi za mwaka 2011/2012 kama ifuatavyo,
1.Kugema ulanzi miezi 6
2.Kusokota kamba za kujinyonga miezi 9
3.Kuchagua mbwa anaefaa kuliwa na mapishi yake miezi 8
4.Kuongeza hasira miezi 10-12
Atakae jiunga mapema atapewa kozi ya upishi wa Mkunungu pamoja na uoshaji wa Mbeta.

 

 

Views: 1075

Reply to This

Replies to This Discussion

Naomba unitajie ada zetu,kuna mtu nataka achukue hiyo kozi

si unaona kozi yenye ni hii ya kuongeza hasira

Jemadari, bahati nzuri kwamba course zote unapewa full scholarship hivyo hulipii ada.  

jemadari mimi said:

Naomba unitajie ada zetu,kuna mtu nataka achukue hiyo kozi

Reply to Discussion

RSS

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*