Tulonge

Nimeikuta hii sehemu nikaamua kuileta hapa.. utani mwingine bwana.

 


Chuo kipya kabisa cha Kihehe kimefunguliwa Kihesa, Iringa.
(HEHE SKILLS AND TECHINICAL COLLEGE OF LIFE)
Kinatangaza kozi za mwaka 2011/2012 kama ifuatavyo,
1.Kugema ulanzi miezi 6
2.Kusokota kamba za kujinyonga miezi 9
3.Kuchagua mbwa anaefaa kuliwa na mapishi yake miezi 8
4.Kuongeza hasira miezi 10-12
Atakae jiunga mapema atapewa kozi ya upishi wa Mkunungu pamoja na uoshaji wa Mbeta.

 

 

Views: 1077

Reply to This

Replies to This Discussion

Hahahahahahahahaha! kamba ya kujinyongea miezi 9.....!
Hahahahahahaahaaaaa nahisi hiki chuo atakuwa amekianzisha Saya. Si muhehe yule
Hahahahahahah dah! me sitapta mitaa ya iringa noma doh!.
ada ni sh ngapi? mimi nataka kusomea kuchagua kaumbwa kaliko nona, na kukapika na hata kugema ulanzi, mtigwa na mkangafu,,,,
halafu mimi pia natuma maombi ya kuwa mkufunzi

mimi nitaomba kujiunga na hiyo cose ya kuongeza hasira.

  ebana ee hii mi nimeipenda sana fom za kujiunga zinapatikana wapi? wadau manake hii si ya kukosa du safi sana

Wewe nipe address yako nikutumie form, ni za bureeee. Ha haa haa

Winfrida Joseph said:

  ebana ee hii mi nimeipenda sana fom za kujiunga zinapatikana wapi? wadau manake hii si ya kukosa du safi sana

Ha haa haa.... mama mzazi hutakiwi kuongeza hasira. Wewe itakufaa ya kugema ulanzi

manka said:

mimi nitaomba kujiunga na hiyo cose ya kuongeza hasira.

Agnes karibu sana. Mshahara kwa mwezi 2,000 US Dollars

Agnes Nyakunga said:

halafu mimi pia natuma maombi ya kuwa mkufunzi

Omary usinichekeshe, kumbe wewe mwoga. Ha haa haa...

Dismas... Saya sio m-bena kweli?

nauliza hivi unautani na wahehe?

Reply to Discussion

RSS

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*