Tulonge

Toa maoni yako juu ya kipengele cha Mdau wa mwezi kilichomalizika juzi? Ambapo mdau wetu wa mwezi alikuwa Chaoga.

Views: 222

Reply to This

Replies to This Discussion

mimi sikifahamu vizuri kipengele hicho,
Acha utani ww Boni,nilikitangaza hiki kipengele hapo home page kwa muda wa wiki kama 3 hv kabla ya kukianzisha. Halafu tar 1 mwz huu nikakianzisha,na nilianza na Chaoga kama mdau wa mwezi. Inaelekea ulikuwa bize sana boss.

Boniface Msami said:
mimi sikifahamu vizuri kipengele hicho,

nilikuwa bize sana mkuu si unajua mambo mengine tena,,,

Tulonge said:

Acha utani ww Boni,nilikitangaza hiki kipengele hapo home page kwa muda wa wiki kama 3 hv kabla ya kukianzisha. Halafu tar 1 mwz huu nikakianzisha,na nilianza na Chaoga kama mdau wa mwezi. Inaelekea ulikuwa bize sana boss.

Boniface Msami said:
mimi sikifahamu vizuri kipengele hicho,

Maoni,

Mnaonaje mdau wa mwezi, ikawa kwa mwezi mara mbili,

yaani akae wiki mbili mmoja then wiki mbili tena mwingine.

Naaitwe mdau wa wiki hii.

Wazo zuri dada Mary,ila kijiji chetu bado hakijawa na wadau wengi ambao ni active. Tukifanya hivyo wadau ambao ni active wanaweza wakaisha baada ya muda mfupi halafu tukashindwa kuendelea na kipengele hiki.Ila wadau active wakiongezeka tunaweza tukawa tunafanya hata baada ya wiki moja. Unaonaje hapo.

Mary wa mkumbo said:

Maoni,

Mnaonaje mdau wa mwezi, ikawa kwa mwezi mara mbili,

yaani akae wiki mbili mmoja then wiki mbili tena mwingine.

Naaitwe mdau wa wiki hii.

mi naona kwa wiki moja. mdau wa wiki

wiki mbili ndio bomba, kwa mtazamo wangu mimi na mkumbo
Wengi wape mkuu... iwe kwa wiki mbili wakiisha tunaanza upya!
Hahahaahaa hamna noma Alfan,jina lake itaitwaje. Au "Mdau wa wiki mbili"?

Alfan Mlali said:
Wengi wape mkuu... iwe kwa wiki mbili wakiisha tunaanza upya!

Reply to Discussion

RSS

© 2020   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*