Tulonge

Habari za wote!

Jamani ni muda hatujajuliana hali, hatujabadilishana mawazo na mambo kama hayo. Nafikiri ni wakati sasa kujumuika pamoja katika kuimarisha udugu, na urafiki wetu kwa kukutana pamoja kama ilivyokuwa ada.

Ni siku ambayo tutakuwa tunafurahi kwa kupongezana kwa kufikia malengo yetu, ni siku ambayo tutakuwa tunafurahi na kutiana moyo kwa mambo ama mipango iliyopangwa ili iweze kutimia na mambo kama haya. Ki-ujumla itakuwa siku ya kupongezana, na kutiana hamasa.

Kauli mbiu iwe "KUKUTANA KWETU NI ZAIDI YA KUFURAHI"

Ni imani yangu kuwa wote mtaupokea ujumbe huu kwa hali chanya.

Hili ni wazo langu tu. Sijui wadau mnasemaje kwa hili?

Views: 1614

Reply to This

Replies to This Discussion

Jamani msisahau kumpa taarifa mzee wa style ya kiduku, Pascal Mabagala

WAZO LIMEPITA NA MAANDALIZI YAANZE MAPEMA BILA KUSAHAU MUZIKI MNENE NA KILA MTU AJIANDAE KUCHEZA KIKWAO, MR NA MISS TULONGE PIA APATIKANE CKU HIYO.
Monica nami nakubaliana na ushauri wako wa kufanya katikati ya mwezi jan. Mwenyezi Mungu atutuweka hai Nawatakia wana Tulonge wote maandalizi mema ya sikukuu.
Karibu sana lakini usiwe na shaka tutajaribu hata kukurushia kwenye mtandao wetu.


Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha! Pascal Mabagala anaona sana ila anajipanga kuja na kauli, si unajua kuna wakati yakubidi ujipange kabla ya kushiriki. I hope atakuwepo, maana ni moja ya watu walio mstari wa mbele katika kujamiana. Ha ha ha ha ha!
Mama Malaika said:

Jamani msisahau kumpa taarifa mzee wa style ya kiduku, Pascal Mabagala

japo nimechelewa kujibu ila na Faisal atakuwepo ya mwaka jana niliikosa namuomba MUNGU mwaka huu isinipitie mbali kama kawa kama dawa nitakuja na kundi la dada zangu toka tanga kwale wakwale waangalie wasije rudi home kwa miguu au kutukurud kabiaa maana wanaweza kufuliwa nguo zao jioni ivyo itabidi asubiri mpaka zikauke huku matuminzi yakiendelea lol, Alfan,Dixon, Dis kazi kwenu

dah! kiukweli nimekuwa mpotevu sana mpaka mambo mazuri yanapangwa me yanataka kunipita hivihivi

haya maisha ni noma jamani msione kimya ugumu wa maisha ndio unanipoteza naingia chaka kusaka mkwanja

 

AMANI KWENU WOOOOTE NAMUOMBA MUNGU AWAVUSHE NA AWATIMIZIE MALENGO YENU INSHAALLAH.

AH! NIMESAHAU KUJIOMBEA NA MWENYEWE NAKUOMBA MUNGU UTUVUSHE NA UTUTIMIZIE MALENGO YETU AMEEN.

Maoni bado yanakaribishwa, kama nilivyoahidi kuwa: key holders za PamoJah zitapatikana bure kwa kila atakayeshiriki au kuhuudhuria party hiyo.
Kifupi naomba wadau tushirikiane kwa moyo mmoja, na kwa nguvu moja ili kufanikisha swala hili muhimu la kihistoria.

I wish you all the best in this year of 2013!

yeruuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu

jamani nitakuwepo mimi tena nyie sehemu tu tarehe sina kipingamizi hata kesho mbona mzuka

NICE TO HEAR FROM YOU MTOTO MZURI, NITAKUWA MWENYE FURAHA SANA KUKUONA ONCE AGAIN

mtotomzuri said:

yeruuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu

jamani nitakuwepo mimi tena nyie sehemu tu tarehe sina kipingamizi hata kesho mbona mzuka

lini jamani kukutana? mbona kimyaaz?

Kama bado na mm nimo.

Jamani hivi hii issue ilipotelea wapi vileeee????

Reply to Discussion

RSS

© 2023   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*