Najua majukumu ni mengi sana, lakini ebu tupange angalau ka weekend fulani katika mwezi ujao wa nane ili tupige stori mbili tatu--palipo na wengi lazima kutakuwa na jambo jema. Na angalau tunywe juice na mishikaki--na itakuwa wakati mzuri maana wengine tutakuwa tumeshamaliza mwezi mtukufu wa Ramadhan.
Ni muda mrefu sanaaaaaaaaa wapendwa! Dah.
Naomba useme NDIO kama umekubaliana nami ili tujue wapi tutakutana. Iwe hivyo wapendwa maisha yenyewe mafupi haya. Ohoooooooooooo! Usiseme sijakwambia.
Tags:
Naungana na wewe ni kwelitupange tukutane
Ni vizuri ikiwa hivyo. Ahsante kwa kuleta wazo hilo.
usihofu tupo pamoja na nasema ndioooooooo
ndioooooooooooooooooo
Ndiooooooooo naomba tarehe
ndinyoooh!!!
Ok. OK. Ok. Ok. Wapendwa, soon nitawajulisha ni wapi pa kukutana na kiasi gani tuchangishane.
CHA Omniscient said:
Ok. OK. Ok. Ok. Wapendwa, soon nitawajulisha ni wapi pa kukutana na kiasi gani tuchangishane.
ndiooooo
© 2022 Created by Tulonge.
Powered by