Tulonge

TUZUNGUMZE MAPENZI--NI SEHEMU ZIPI WANAUME/WANAWAKE WANAPENDWA KUGUSWA KABLA YA MCHEZO?

Wandungu, haina haja ya kujieleza sana kama vile ni maombi ya kazi ama kampeni za siasa ili upate ubunge ama urais. Kichwa cha habari kinajieleza, na bila kupoteza muda tuanze mjadala.

Asanteni sana!

Views: 4138

Reply to This

Replies to This Discussion

Naomba 22mie" tafsida "Yaani tupunguze ukali Wa Maneno ktk kuchangia mada hii

Asante Monica kwa kuanzisha mjadala japo hujachangia, ila asante.

Monica said:

Naomba 22mie" tafsida "Yaani tupunguze ukali Wa Maneno ktk kuchangia mada hii

MImi nikishikwa shikwa abdalah kichwa wazi wangu huwa najisikia raha saaaaana.

Nyie wanawake wote mkinyonywa kitumbua mnasikia raha kweli kweli.Hakuna wa kubisha juu ya hilo.

Mimi nikishikwa kiuno nahisi raha mustarehe

Mimi nikishikwa kichwa teh teh teh ndo naona raha

Hodo hodi hodi humu ndani! Ohhhh! samahani, nilijua naweza kupata JUICE ya ukwaju, ama machungwa kumbe ni sehemu ya ku-discuss mambo ya usiku, na sirini--Ok. nyie endeleeni, nitarudi nikipata cha kuchangia. Hapa niko hovyo, kama mwanafunzi aliyeingia kwenye mtihani bila kusoma. Tehe tehe tehe tehe tehe tehe tehe!

Mhhhh! Mamboz hayooooooooo!

Samahani eti zinapatikana kadi za CHADEMA humu?

Mi napenda sana kumung'unya chakula ya mtoto aisee..

Umenena Severine...misibishi hapo lol!

Mimi anajua Alfan, muulizeni.

Reply to Discussion

RSS

© 2023   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*