Tulonge

TUZUNGUMZE MAPENZI--NI SEHEMU ZIPI WANAUME/WANAWAKE WANAPENDWA KUGUSWA KABLA YA MCHEZO?

Wandungu, haina haja ya kujieleza sana kama vile ni maombi ya kazi ama kampeni za siasa ili upate ubunge ama urais. Kichwa cha habari kinajieleza, na bila kupoteza muda tuanze mjadala.

Asanteni sana!

Views: 4138

Reply to This

Replies to This Discussion

mmmhhhh,haya ongereni kwa mada kubwa na pana.

Alfan umenichekesha sana, Christer umeniuaaaa! You guyz mna mambo sana.

Ehe, naendelea kuwasikiliza kwanza, then nitakuja kuchangia mjadala. Nimeupenda sana mjadala.

Dismas mbona huchangii, Anjela mbona huchangii?

Dah! humu ndani watu mna mamboz sana!

Karibu uzalendo utanishinda hapa. Maana ububu umefikia ukingoni.

Ngoja kwanza nipige moyo konde then nita-come back.

Haswaaaaa...waambie waniulizage niwape michapo...tehethetehethete

Christer said:

Mimi anajua Alfan, muulizeni.

CHA unaogo[pa kutaja udhaifu wako ulipo...tehetehetehetehetehetehet Mi najua mtu akisogeza mkono karibu na mbavu zako unastuka na kupaa kama PAA....

Hahahahahahahaaaaaaaaaaaaaa kweli Cha the great, muulize Alfan atakwambia. mimi siwezi sema sababu anajua yeye.

wandugu, mbona wengine wana kigugumizi, hasa cha the small!

Jamani vp kama mdada anatafuta juice toka kwe mbichwa si raha hiyo? Pia vigololi vikichezewa bomba linatoa maji kwa fujo. Mpo kuweni wazi msifiche fiche aliyeanzisha mjadala kasema tuwe wazi kuna kinababa kinamama wanatoka nje ya ndoa kwani hawaelewi majambo tuwafunze. Ngoja niende nika..............

Me' niki laliwa kifuani 2na manzi wang naliskia raha na msisimko wa hali ya juu

Stephen Minja, saaaaaaaaaafi sana!

Saaaafi sana, ila mbona huweki picha yako tukuone. Cha the Huge aka The Big, mbona hutoi maonizzzz? Lol.

Wewe Zainabu mbona husemi sehemu yako ya kushikwa hadi utepete?

Mimi nikishikwa eneo la kiuno huko nanyonywa chakula ya mtoto nakuwa hoiiiiii.

Nijuavyo mm mwanamke ana sehemu 99 za kuguswa na mwanaume 21,ila kati ya hizo kuna sehemu moja tu hapo ukimgusa mwanamke/mwanaume unakua kama umemfikisha peponi vile

Reply to Discussion

RSS

© 2023   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*