Tulonge

TUZUNGUMZE MAPENZI--NI SEHEMU ZIPI WANAUME/WANAWAKE WANAPENDWA KUGUSWA KABLA YA MCHEZO?

Wandungu, haina haja ya kujieleza sana kama vile ni maombi ya kazi ama kampeni za siasa ili upate ubunge ama urais. Kichwa cha habari kinajieleza, na bila kupoteza muda tuanze mjadala.

Asanteni sana!

Views: 4077

Reply to This

Replies to This Discussion

Monica@Usijali dada yetu,ombi lako litashughulikiwa,ngoja tuzitafute hizo tafsida,ila zikikosa utuwie radhi dada!.

 

SEVERINNNNNNN NDO MANA NAKUPENDAGA KWA KUSEMA UKWELI

Jamani leo najisikia kuongea kwanza hebu tuwashe taa kila kiungo kionekana kilivyo nayo roho ifurahi pili tukae mkao gani dada eti kifo cha sijui mbuzi mmmm hapana hiyo ya zamani fisi kachoka ndio mwendo umeonaeee !!!!Halafu ngoja hebu apo kwenye "nido" gusa alafu tia ulimi eee chumvi tupu umeonaeee !!!na bomba lenyewe linavyofura sisemi. Bado usiondoke naona una kiu kali sana hebu kula nini eti koni ya azamu mama sijielewi nazimia kwaherini.

 

Hahahaa Bro Stephen hapo unarapu au unaflooo... ???? HAHAHAAAAAA

hahahahahhaaha...Duh ahata mimi sijaelewaelewa vileeeee....!

Dixon Kaishozi said:

Hahahaa Bro Stephen hapo unarapu au unaflooo... ???? HAHAHAAAAAA

Hahahahahaa... Nimerudia kusoma lakini sijaelewa kitu, kumbe si mimi pekeyangu.. hahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa @ Alfan

M mmm jamani mbona rahisi tu nimesema ili mchezo unoge lazima muwashe taa uuone mnofu unavyopengaa na kupendeza , je hapo bomba lako vp bado usingizi au limetuna.Halafu mchague style inayohamasisha kama kama mbwa kachoka( huinama na kuinua mguu mmoja juu) na hapo mnofu unameremeta kwa nyuma.Nido ni chuchu au maziwa ya m'meyajishikwa na kutiwa ulimi hapo raha tupu.Koni ninaamini mmeelewa.Kazi kwenu.

 

Mi napita, salama hapa jamani?

Hahahahahahahahahah..Rudia tena bado kdg Christer hajaelewa....

Hahahahahaahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa mie nimepita tu baby wangu @ Alfan.

Jamani msiogope mimi natoa tu feelings zangu kama alivyoomba dada Zainabu ila najaribu kuongea kikubwa.

Kesho karibuni wote Wa Tulonge hapa Steers ya Samora tule badaye tuongee zaidi nina mengi ya kusema hiyo trailer tu.
 
Christer said:

Hahahahahaahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa mie nimepita tu baby wangu @ Alfan.

titi nahisi ndo raha ya mwanamke hata mm nipenda hiyo

Reply to Discussion

RSS

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*