Wandungu, haina haja ya kujieleza sana kama vile ni maombi ya kazi ama kampeni za siasa ili upate ubunge ama urais. Kichwa cha habari kinajieleza, na bila kupoteza muda tuanze mjadala.
Asanteni sana!
Tags:
ngoja na mimi nisubiri wizara ya mambo ya chini tehee, niibie maujuzi.
Mama Malaika said:
Mkwe shukran kwa kuchangia, mie yangu macho nasubiria kusoma hiyo Wizara ya mambo ya Chini. Teh teh teh....
Chalii_a.k.a_ILYA said:SEHEMU ZENYEWE NI KAMA HIZI ZIFUATAZO:
Mara nyingi wanawake hupenda kuguswa nywele zao na kuzichezea,kuchezea sehemu ya kiuno mitaa ile ya shanga,kupitisha ulimi kifuani kwake na juu ya maziwa na kuzigusa chuchu za maziwa.Maeneo kama hayo huwa ni nyeti sana kwa mwanamke (kunako hisia) na huwa ni rahisi kwa Mwanaume kuyatumia maeneo 2make her hot.
Ama kwa wanaume,sijakosea nikisema kwamba hupenda sana kuchezewa au kuguswa ile sehemu inaitwa Garden(chest),wakipokea ile kitu tunaita:Feeling Kiss.
Hapo nimeelezea baadhi ya sehemu wapendazo kuguswa wanaume na wanawake,na nimezungumzia tu sehemu za juu tunazoziita: Wizara ya mambo ya juu,nikirudi nitazungumzia sehemu za chini maarufu kama:Wizara ya mambo ya Chini.
mmh mambo hayo
ehe
Sehemu zinajulikanwa bana
E
Endelea, tunasubiria Wizara ya mambo ya chini, tupeni mambo jamani
manka said:
ngoja na mimi nisubiri wizara ya mambo ya chini tehee, niibie maujuzi.
Mama Malaika said:Mkwe shukran kwa kuchangia, mie yangu macho nasubiria kusoma hiyo Wizara ya mambo ya Chini. Teh teh teh....
Chalii_a.k.a_ILYA said:SEHEMU ZENYEWE NI KAMA HIZI ZIFUATAZO:
Mara nyingi wanawake hupenda kuguswa nywele zao na kuzichezea,kuchezea sehemu ya kiuno mitaa ile ya shanga,kupitisha ulimi kifuani kwake na juu ya maziwa na kuzigusa chuchu za maziwa.Maeneo kama hayo huwa ni nyeti sana kwa mwanamke (kunako hisia) na huwa ni rahisi kwa Mwanaume kuyatumia maeneo 2make her hot.
Ama kwa wanaume,sijakosea nikisema kwamba hupenda sana kuchezewa au kuguswa ile sehemu inaitwa Garden(chest),wakipokea ile kitu tunaita:Feeling Kiss.
Hapo nimeelezea baadhi ya sehemu wapendazo kuguswa wanaume na wanawake,na nimezungumzia tu sehemu za juu tunazoziita: Wizara ya mambo ya juu,nikirudi nitazungumzia sehemu za chini maarufu kama:Wizara ya mambo ya Chini.
kwangu;mashavu hufanya nimwite mama yangu kwani hufanya 'nizimie'
© 2023 Created by Tulonge.
Powered by