Tulonge

TUZUNGUMZE MAPENZI--NI SEHEMU ZIPI WANAUME/WANAWAKE WANAPENDWA KUGUSWA KABLA YA MCHEZO?

Wandungu, haina haja ya kujieleza sana kama vile ni maombi ya kazi ama kampeni za siasa ili upate ubunge ama urais. Kichwa cha habari kinajieleza, na bila kupoteza muda tuanze mjadala.

Asanteni sana!

Views: 4083

Reply to This

Replies to This Discussion

we Lilian yaani Kichwa tu khaaaa 

hha haha Alfan yaani chakula ya mutoto unamung'unya ww jitu zima duuh 

Hahahahaaa....  Komenti zako kiboko!!!

Cha the Great said:

Samahani eti zinapatikana kadi za CHADEMA humu?

Hodi tena Hapa!!! Watu wanakuwa waoga kuchangia hii mada!!! Hasa Dismas sijamuona kabisa, Chaoga, Mama Malaika, bonielly, Angela na wengine kibao.. Nini mnagwaya ? Duh.. wacha nisiwaseme watu wakati na mimi sijaweka neno.. teh..

Ebwana MIMI nikilambwa SIKIO natetemeka!!!!!

Teh teh teh teh...
 
Dixon Kaishozi said:

haahahaaaaaaa!!

Mama Malaika said:

Teh teh teh teh...
 
Dixon Kaishozi said:

Hodi tena Hapa!!! Watu wanakuwa waoga kuchangia hii mada!!! Hasa Dismas sijamuona kabisa, Chaoga, Mama Malaika, bonielly, Angela na wengine kibao.. Nini mnagwaya ? Duh.. wacha nisiwaseme watu wakati na mimi sijaweka neno.. teh..

Ebwana MIMI nikilambwa SIKIO natetemeka!!!!!

ngoja mimi nimuulize kwanza baba naniii!

Nilikuwa wapi kijana mie jamani sijatembelea forum hii 4long time,hizi ndio mijadala napendaga mimi,ngoja kwanza nijipange kisha narudi kuchangia.

Halafu mbona wadau wanaogopa kumwaga sera katika mada hii,mbna mada bomba tu na istoshe ni ya kijamii zaidi.Tunaweza kujifunza kupitia komenfi zenu hivyo tafadhali msitubaniwe kwa mawazo yenu mazuri kunako mada kama hizi na zingine.

Hahahhahaha,sasa Dixon sikio tu hooooiiii,nahiliii je si utananihiii mdomoni

SEHEMU ZENYEWE NI KAMA HIZI ZIFUATAZO:

Mara nyingi wanawake hupenda kuguswa nywele zao na kuzichezea,kuchezea sehemu ya kiuno mitaa ile ya shanga,kupitisha ulimi kifuani kwake na juu ya maziwa na kuzigusa chuchu za maziwa.Maeneo kama hayo huwa ni nyeti sana kwa mwanamke (kunako hisia) na huwa ni rahisi kwa Mwanaume kuyatumia maeneo 2make her hot

Ama kwa wanaume,sijakosea nikisema kwamba hupenda sana kuchezewa au kuguswa ile sehemu inaitwa Garden(chest),wakipokea ile kitu tunaita:Feeling Kiss.

Hapo nimeelezea baadhi ya sehemu wapendazo kuguswa wanaume na wanawake,na nimezungumzia tu sehemu za juu tunazoziita: Wizara ya mambo ya juu,nikirudi nitazungumzia sehemu za chini maarufu kama:Wizara ya mambo ya Chini.

Mkwe shukran kwa kuchangia, mie yangu macho nasubiria kusoma hiyo Wizara ya mambo ya Chini. Teh teh teh....
 
Chalii_a.k.a_ILYA said:

SEHEMU ZENYEWE NI KAMA HIZI ZIFUATAZO:

Mara nyingi wanawake hupenda kuguswa nywele zao na kuzichezea,kuchezea sehemu ya kiuno mitaa ile ya shanga,kupitisha ulimi kifuani kwake na juu ya maziwa na kuzigusa chuchu za maziwa.Maeneo kama hayo huwa ni nyeti sana kwa mwanamke (kunako hisia) na huwa ni rahisi kwa Mwanaume kuyatumia maeneo 2make her hot

Ama kwa wanaume,sijakosea nikisema kwamba hupenda sana kuchezewa au kuguswa ile sehemu inaitwa Garden(chest),wakipokea ile kitu tunaita:Feeling Kiss.

Hapo nimeelezea baadhi ya sehemu wapendazo kuguswa wanaume na wanawake,na nimezungumzia tu sehemu za juu tunazoziita: Wizara ya mambo ya juu,nikirudi nitazungumzia sehemu za chini maarufu kama:Wizara ya mambo ya Chini.

Reply to Discussion

RSS

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*