Mlevi kaanguka toka ghorofani, fasta watu wakamfuata kumsaidia. Wakamuuliza, vipi kulikoni?
Mlevi akajibu : HATA SIJUI NA MIE NDO NIMEFIKA SASA HIVI!!
Tags:
ha ha haaaaaaaaaa.ndio kafika sasa hivi.
pombe sio chai.
Hahahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaa, HAWEZI JUA.
Hahahahahaaaaaa... ndo maana mi nimeacha pombe nakunywa kilimanjaro tu!! hahahaaa
© 2022 Created by Tulonge.
Powered by