Tulonge

walevi watatu walilewa sana wakakodi taxi. Mwenye taxi alipowaona wamelewa sana akawasha gari halafu akazima, akasema "tayari tumefika."

- Mlevi wa 1 akatoa pesa akampa.

- Mlevi wa 2 akamwambia "thank you"

- Mlevi wa 3 akampiga kibao akamwambia "Shenzi siku nyingine usiendeshe mbio, utakuja kutuuwa"..

Views: 281

Reply to This

Replies to This Discussion

Hahahahhahahahahahhhahaaaaaaaaaaaaaaaaaa Kweli ulevi noumaaaaaaaaaaaaa, mimi ndo maana naogopa pombe sitaki hata kudhubutu kuonja! hahahahahahahahaaahahhahah  @ "utakuja kutuuwa"

Reply to Discussion

RSS

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*