Tags:
Inategemeana mkwe wangu. Mie niko more happy kwenye relationship lakini waweza kuta kuna mwingine yuko single na anasema yuko more happy than me.
DaManka@ rudia kupiga tena yako,lasivyo utaunguza kura yako.
Utakaposema -Inatememea- unaunguza kura dada.Funguka ili kura yako isiungue.
in relationship is more happy
ahaa@ ILYA nasema inategemea kwa sababu kuna ambao wanaona raha zaidi wakiwa single na kuna ambao wanaona rahaa zaidi wakiwa in relationship, lakini kwa mimi in ralationship nipo happy.
Naona In relationship inazidi kupaa,na single inazidi kupoteza kura.!!
Binafsi raha zaidi naiona kule kwenye Relationship,hivyo relationshipa huenda akaibuka kidedea.!!
Single is sweet, In Relationship with the right person is sweeter than single! coz waweza kuwa in relationship with the wrong person, aaaaah u will never enjoy the fruits of relationship!
Kweli kabisa Da Christer@ ,nimependa sana hiyo sentensi ya mwisho:kuhusu Wrong Person,relationship nzuri iwe mtu mwenyewe mzuri sio bora relationship.Relationship inakuwa ok ikiwa mwenza wako nae yuko ok,lakini ikiwa mtu mwenyewe mcharuko,hapo single inaweza kuwa sweet mara mia kuliko huo uhusiano uliozubaa bali ambao unaweza pia kuwa karaha badala ya raha.
© 2023 Created by Tulonge.
Powered by
Binafsi furaha zaidi siioni ispokuwa kwenye Ralationship,ndio,hatukatai kwamba kuwa single hupati furaha,bali furaha utapata lakini furaha hiyo ya usingle bado haijabahatika kufikia kiwango cha furaha ile inayopatikana ndani ya Relationship,furaha ya relationship baina ya wawili,ni ya kiwango cha juu,na ndio maana tukasema: In relationship u will find more happy.Ikiwa kweli wewe unataka kuipata furaha zaidi.
Kwa ibara nyingine:
Ikiwa wewe kama wewe, hauoni ulazima wa kuwa auy kuipata furaha zaidi,kwa maana unaona kuipta Furaha inatosha na si lazima kuipata furaha zaidi,kama yule anayesema: mimi niko tayari kutosheka na furaha tu ambayo haijafikia kiwango cha kuwa furaha zaidi!!!,hapo huyo anaweza kuchagua kuwa Single.Maana single itampatia furaha anayoitaka,lakini ikiwa atataka furaha zaidi, basi hapo atalazimika kuwa in relationship.Maana in relationship ndipo kunakopatikana Furaha kamili.Na hii inamaanisha kwamba:
Kwenye uhusiano hakuna furaha tu peke yake,bali kuna (FURAHA+ ZAIDI).