KUNA JAMAA ANATOKA KARAIKOO KUELEKEA UBONGO AKIWA NDANI YA DALADALA KITI CHA MWISHO AKIWA NAKULA MZIKI NDANI YA SIMU YAKE HUKU AKIWA AMEVAA HEAD FONE BILA KUJIELEWA NGOMA INADONDOKA FAYA KUJA MITAA YA JANGWANI JAMAA AKACHIA USHUZI KWA SAUTI KUBWA MNO MPAKA ABIRIA WOTE WALIGEUKA JAMAA AKASHANGA AKAONDOA HEAD FONE POLE POLE NA AKAKUTA DALADLA HAINA MZIKI AKAJIONA KESHAHARIBU WATU WAMEMSITUKIA KWA KUUA SOO IKABIDI MAPIPA ADONDOKE NA ACHUKUE TAX AKAPANDA TAX YA MZEE YULE MZEE AKAONA BORA AFUNGE KIOO WALE KIYOYOZI BAADA YA MASAFA FULANI YULE JAMAA AKAUWACHIA TENA WA KIMYA KUMYA GARI NZIMA IKAWA INA HARUFU KIJANA KUTAKA KUUA SOO AKAMULIZA YULE MZEE DEREVA VIPI HALI YA HEWA YA LEO YULE MZEE AKAMJIBU JANA MIE MWANANGU SIKUWAHI KUANGALIA TV NA KUJUA UTABIRI WA LEO LAKINI INAVYOONYESHA HALI IKZIDI KAMA HIVI HUWENDA LEO IKANGUKA MVUA YA MAVI