Tulonge

KUNA JAMAA ANATOKA KARAIKOO KUELEKEA UBONGO AKIWA NDANI YA DALADALA KITI CHA MWISHO AKIWA NAKULA MZIKI NDANI YA SIMU YAKE HUKU AKIWA AMEVAA HEAD FONE BILA KUJIELEWA  NGOMA  INADONDOKA FAYA KUJA MITAA YA JANGWANI  JAMAA AKACHIA USHUZI KWA SAUTI KUBWA MNO MPAKA ABIRIA WOTE WALIGEUKA JAMAA AKASHANGA  AKAONDOA HEAD FONE POLE POLE  NA AKAKUTA DALADLA HAINA MZIKI AKAJIONA KESHAHARIBU WATU WAMEMSITUKIA KWA KUUA SOO IKABIDI MAPIPA ADONDOKE  NA ACHUKUE TAX  AKAPANDA TAX YA MZEE  YULE MZEE AKAONA BORA AFUNGE KIOO WALE KIYOYOZI  BAADA YA MASAFA FULANI YULE JAMAA AKAUWACHIA TENA WA KIMYA KUMYA  GARI NZIMA IKAWA INA HARUFU KIJANA KUTAKA KUUA SOO AKAMULIZA YULE MZEE  DEREVA VIPI HALI YA HEWA YA LEO YULE MZEE AKAMJIBU JANA MIE MWANANGU SIKUWAHI KUANGALIA TV NA KUJUA UTABIRI WA LEO LAKINI INAVYOONYESHA HALI IKZIDI KAMA HIVI HUWENDA LEO IKANGUKA MVUA YA MAVI

Views: 523

Reply to This

Replies to This Discussion

Hahahahahahaa ww Mwinyi unavituko kweli,ucje ukanivunja mbavu zangu.
Jamaa anaonekana ni bingwa wa kuachia makombora
nacheka tu kaka. we mkali!!!!!!!!!!!!!!!
Tehethetehteheteeheteheteh!
mwana we ni mkali duuuh

Reply to Discussion

RSS

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*