Tags:
Kwahiyo ukitambua jinsia zako ndo uzitumie isivyo halali? Ushoga HAUFAI
mmmh..kama sijaelewa mada vileeeeeee.??
Hamnielewi jameni TV juzi ime2onyesha vijana wakifurahia tabia hizi bila kujali matokeo swali ni je vizazi vyetu vyaelekea wapi?
SHIDA ipo katika jamii kwamba , hii milango ya maingiliano wa mataifa,result leo this what so call - globalization- filamu chafu( blue) kuzagaa kwetu na kufundisha vitendo ovyo.
Watoto Like monkeys kwa wigo - result wanajiingiza na hili licha ya boy to boy kumbe girl to boy na girl to girl.
Kitendo chochote kiovu ukianza ndio mpaka .....
Nadhani,seriously kazi ya taasisi za kidini,jamii na serikali kwa upande wake ifanye juhudi kama si kulaani kwa nguvu.
Kule, U.S.A nimeona wanafanya treatment ya water-therapy kusaidia waathirika ya tendo hili,ili wakipoa kuwarejesha kwenye familia ambazo huwatenga kabisa,can u imagine.As if kama- SOBER HOUSE inavyosaidia kuelimisha na kuwapatia dawa ya vijana wanaoathirika na madawa ya kulevya hivi sasa.
INATIA UCHUNGU sasa ,jambo hili hasa ukiwa tayari ni baba au mama mwenye watoto...
''haya ni maumbile'' lakini yana tatanisha kusikia kwa wenzetu kuwa mashilika ya kijamii yana tilia mkazo yafuatwe,Hasa mpaka kwa Rais wa Marekani anaunga mkono tabia hizi MAAJABU HAYA mwaona naje mabingwa?????
huko si kuitambua jinsia yake manake ukiitambua utaitendea haki, hawa jamaa hawazitendei haki jinsia zao kinacho mfanya mtu aitwe mume tunakijua na yule aitwe mke tunakijua, hivyo ndio vinavyo mfanya mtu haitendee haki jinsia yake.
topic nzurii ila hujaipresent inavyotakiwa nikipata chance nitarudii
© 2023 Created by Tulonge.
Powered by