Tulonge

 

Wengi wetu tumezoea kula vyakula tulivokula kwa mazoea tunamoishi. Unaenda ugenini au nchi ya ugenini, siku ya siku wakutana na wenyeji na wanakukaribisha nyumbani kwao kwa chakula mchana au jioni. Baada ya chakula kuwekwa mezani kama ilivyo pichani hapa juu unauliza hicho kwa sahani ni nini? Unaambiwa na wenyeji wako ni panya wa porini kabanikwa kwa moshi na ndio chakula cha asili cha wenyeji wako. 

 

Wana TULONGE naomba mnambie..... Je iwapo ni wewe utafanya nini? Utasema wazi chakula cha namna hiyo hujakila toka kuzaliwa hivyo hupendelei kula utabakia njaa? Au utajitahidi kula na kuwa polite kwa wenyeji wako?   

Views: 2996

Reply to This

Replies to This Discussion

Mi nazan ntakufa nanjaa kwakweli. Cwez kumla ntatapika.
Mi nazan ntakufa nanjaa kwakweli. Cwez kumla ntatapika.

Mimi ntakula hivyo vya pembeni na baadhi ya minofu lakini sio tumboni maana huyo mnyama namjua kwa kula visivyo faa kuliwa

Hahahahahahah Mama amekula samaki nchanga hahahah doh! mie nitakufa njaa sitakula bola ninywe hata maziwa kwa week nzima, Mama napenda umekuwa muwazi na umesifia kuwa mtamu hasaa lol .

Panya panya tu awe waporini au nyumbani sema hapo wanapunguza ukali wa maneno ila panya ni yuleyule.

Yaani hapo nitavumilia na kama hakuna chakula na nikiangalia hali yangu inadhoofika nipo mwisho kabisa ndio nitakula ila natafuta nia ya kurudi kwetu Maana kula panya sitaweza

Hahahaaa.. Mambo ya fuuudi..  najua dismas umenipata!!!

Tulonge said:

Kama wao wanakula na mimi nakula tu. Kwanza wagogo wa Dodoma wanagonga sana hawa panya na hawafi wala nini.

Kitu inamuonekano mzuri sana hiyo.. nitaomba wanitolee kichwa tu.. alafu vingine napita navyo kama kasungura katoto vile.. 

Ha haa haa haa haaa.... Hicho ndio kwenye utamu penyewe.
Dixon Kaishozi said:

Kitu inamuonekano mzuri sana hiyo.. nitaomba wanitolee kichwa tu.. alafu vingine napita navyo kama kasungura katoto vile.. 

Mie bora nile panya kuliko kufa njaa, tena nitaomba na pilipili kali/kichaa kusukumia pa shingo. Ha haaa haa haaaaOmary said:

Hahahahahahah Mama amekula samaki nchanga hahahah doh! mie nitakufa njaa sitakula bola ninywe hata maziwa kwa week nzima, Mama napenda umekuwa muwazi na umesifia kuwa mtamu hasaa lol .

Reply to Discussion

RSS

© 2023   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*