Tulonge

John siku moja alimwalika rafiki yake FRED dinner nyumbani kwake jioni. Baada ya maakuli John na mkewe (Lisa) pamoja na mgeni wao Fred  wakati vinywaji vinaendelea  walikuwa wakicheza karata. Kwa bahati mbaya wakati mchezo ukiendelea kwa bahati mbaya karata ilidondokea chini ya meza, Fredi alipoinama kuikota akaona NYETI za Lisa ambaye alikuwa hakuvaa chupi. Fredi akahamanika kwa aibu japo rafiki yake John hakugundua kitu chochote.

Baadae kidogo John alitoka kwenda kuchukua kinywaji jikoni Lisa alimuuliza John hivi:

Fred "Umekipenda ulichokiona?"

Fred "Ndiyo"

Lisa "Utakipata kwa laki moja ila iwe siku ya Ijumaa mchana maana John huwa anapenda kwenda Site kuwaona wateja wake kila Ijumaa.

Ijumaa ikafika Fredi akaja kwa John na mchezo ukachezwa kama walivyopanga. John aliporudi nyumbani jioni akamuuliza mkewe Fredi alikuja leo?

Lisa akawaza kuwa huenda mume wake alimwona Fred akija au aliambiwa kuwa alikuja hivyo akajibu "Ndiyo alipita hapa mara moja" John akajibu safi alikuachia Laki moja?

Lisa akajiuliza akisema huenda huyu atakuwa anajua kabisa akajibu kwa upole "Ndiyo kaileta"

John akajibu hivi Fredi nimwaminifu sana alikuja ofisinikwangu asubuhi na kuniomba nimkopeshe laki moja kuwa atapita nyumbani akuachie mchana.

Kichekeshooooooooooooooooooooooooo

JE UNGEKUWA WEWE UNGEFANYA NINI??????????

Views: 599

Reply to This

Replies to This Discussion

Teh teh teh Yani John katoa laki moja ambayo imetumika kumuhonga mkewe.Kweli Fred noma.

Alalaalala,yaani huyu Fred ni mwisho,yaani mimi nikimkaribisha nyumbani kwangu,basi  nahakikisha siweki mchezo wa karata.!!!

Teh teh teh teh si lazima mchezo wa karata sema na Lisa naye alikuwa anatega maana kama hiyo karata isingedondoka huo mchezo usingefanyika au?@Chalii a.k.a Illya

Habari ndo hiyo wangu@Tulonge

Reply to Discussion

RSS

© 2023   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*