Unawezaje kutafauticha baina ya UTAMU na RAHA ?
Utamsikia mtu asema ,"naona utamu...... ama naona raha......"
SEMA usikike !!!
Tags:
Nadhani unamaanisha kutofautisha SIYO kutafauticha. Kabila gani wewe?
UTAMU unauhisi baada ya kuonja/kula kitu. Kama ukilamba sukari utahisi UTAMU.
RAHA inapatikana baada ya kutendewa kitendo ambacho kitaufanya mwili uburudike.Unapofanya mapenzi na mke/demu wako, ile unayoihisi ni RAHA siyo UTAMU.
Kwa kifupi RAHA huwezi ipata kwa kula kitu.
Yangu ni hayo wadau, kama nimekosea nirekebisheni.
Joan ! nie ni mswahili wa kisiwani ,Zanzibar LUGHA yetu ni kiswahili as our mother tongue
Mimi nilidhani, Tamu ni peke yake inapatikana katika ULIMI kama ndio kiungo kinachotafautisha ladha ( taste) ingawaje ushiriki wa mate na ubongo ndio hisia za utamu zinapatikana. Achana na usanii wa KIZAZI KIPYA ambao niwapotoshaji wakubwa wa lugha.Wasanii wa ZILIPENDWA pekee walifanya kazi hiyo ya kujali matumizi ya lugha- MFANO : juma kilaza,shaaban marijan,salum abdala,n.k
Raha IKO MOYONI - si pekee yake sex activity iletayo raha tu. Ila kuna vitu vingi vinavyomletea raha mtu.
Nimalizie ,hapo muda mwengine naweza kuongelea RAHA Kimaana,mazingira na vitu mbali mbali.
KWAHERI !!!
Shukran wadau kwa hili nimeambulia kitu hapa kwani hata ningeulizwa sijui ningejibu nini? Ustaadh Babengwa nakusubiria kwa hamu uje umalizie kuongelea RAHA.. maana tumesikia UTAMU tu atiii.
Shukran wadau kwa hili nimeambulia kitu hapa kwani hata ningeulizwa sijui ningejibu nini? Ustaadh Babengwa nakusubiria kwa hamu uje umalizie kuongelea RAHA.. maana tumesikia UTAMU tu atiii.
Hayo, hapo kufanyika yakamletea RAHA mtu ingawaje wakati mwengine yakaleta KARAHA- HILI linategemea sana - mazingira ya tukio, wakati wa tukio yaani utayari na mtu kutenda .
Niongeze kimfano kidogo kati ya haya mambo niliyoyapa nambari nachukua moja tu.
Kila Mtu anadhani kitendo cha kujamiana kinaleta RAHA.
Hapana-ili kilete RAHA lazima izingatiwa - MAZINGIRA,UTAYARI NA WAKATI.
Sidhani, usiku wa manane umvamie mke aliyelala ukaomba jambo hili litazua RAHA ni KARAHA kwa vile hayo MAMBO MATATU yalipaswa yazingatiwe.
Mama Malaika ,hii habari ni yako ingawa ni faida ya yeyote due to what extent ,being impress what I was talking about....HAHAHAHA!
Baadae !
Shukran.... nimefurahishwa ni mifano uliyotoa imesaidia kuelezea vizuri nini maana ya RAHA
© 2021 Created by Tulonge.
Powered by