Tulonge

WANATULONGE NAOMBA NIWAFAHAMISHE KUWA NDANI YA HUU MTANDO KUNA MATAPELI WANAO JIFANYA NI WASENEGAL AMBAO WAPO KWENYE KAMBI YA WAKIMBIZI HIVYO MNATAKIWA MUWE MAKINI KWA ATAKAE TAKA KUMJUA TAPELI MMOJA AMBAYE YUMO UMU KWENYE HUU MTANDO WA TULONGE TUMIA EMAIL YANGU {MHANDOHATIBU@YAHOO.COM} NIKUJURISHE JINA LAKE ANALOTUMIA HUMU NDANI NA ALILOTUMIA KUTAKA KUNITAPELI HAKUJUA KUWA MIMI NI ASKARI ILA NAWAHAKIKISHIA LAZIMA NITAONYESHA FUNDISHO KWA HAO WANAOJIFANYA NI WAKIMBIZI KUTO DAKAR SENEGAL

Views: 1259

Reply to This

Replies to This Discussion

Asante kwa taarifa hiyo mkuu, itakua ni vizuri kunijuza juu ya watu hao pia ili ni wa block.Wakati mwingine huwa wananikwepa sababu wamehisi mimi ni admin hapa, hivyo huwa hawanitumii hizo msg zao. Wengi wao huwa nawastukia na kuwa-block. Tupo pa1 man

Yeye Anatumia Jina La BABY LOVE ngoja nikitulia nitawatumia msg alioniandikia kwa mara ya kwanza pindi nilipo jiunga na huu mtandao wa tulonge,..
nitawapostia na email alio itumia ya kiujumla yote tulio yazungumza kwenye email nitawaonyesha ili kuikomesha hii tabia ili wengine wasije kutapeliwa

hata mimi ninae mmoja nachati nae kila siku kanitumia picha zake na contacts nimemstukia muda mrefu anataka hela kabugi men

Ila sidhani kama yupo hadi sasa, nonahisi nilisha mpiga chini.Sijamuona

  

Mr. Eddy hao mbona tumeshawazoea mimi nimeshatumiwa na sms na madada wawili nimeshawabana kisawasawa matokeo yake siku hizi hawatumi hata sms. maelezo yao yote yanafanana eti ni yatima wako uhamishoni na mengine kibao. Tujiangalie jamani.
Huyu baby Love hata mimi kanitumia picha zake ni maelezo kibao, yaani hana mpango ni mwizi mkubwa.
Hao hawana Jipya!Mie mwenyewe nilitumiwa ujumbe toka Thailand,na mwanadada akidai ni mjane na mumewe kamwachia Urithi wa £256million.Akanitumia mpaka na Document kibao!Baada ya kutrace zile document!hakukuwa na yoyote iliyo sahihi,zote zilikuwa Feki!!Ni kweli hao madada wapo!Na wana kiiingereza kizuri(kwa maana lugha nzuri ya kuvutia)

kaka hajanitumia mail tena nilimwambia sina pesa za kumlipa lawyer wake eti aandae power of attorney and certificate of oath nilimpiga chini nilianza kujua alikokua anaelekea muda wote wa majadiliano.Anaitwa Fafa baby yuko refugees camp Dakar hawana maana wanamaelezo mazuri watu wataibiwa



Tulonge said:

Ila sidhani kama yupo hadi sasa, nonahisi nilisha mpiga chini.Sijamuona

Asante kwa taarifa hata me nimekutana nao wote hao kina baby love na huyo wa thailand.But nilipo waambia me mwanafunzi hawajanitumia tena email...Kazi kwelikweli

Huyo dada mjane wa Kithailand hata mimi kanitumia akisema ana hizo pesa na anaogopa kudhurumiwa na shemeji zake. yaani ni wataalam wa kutumia lugha nzuri na yenye kuvutia. kwa kusema ukweli tuwe waangalifu wezi ni wengi sana kwenye mitandao hii ya kijamii.

huyo msenegal alisha nitokea hata mimi, kipindi hicho nipo chuo nikawauliza wenzangu nao wakasema alisha watokea, nikamuacha afanye yote ilipo fika mda wa malipo nika mwambia hako kamchezo nakajua vema, hakunifuatilia tena.

Reply to Discussion

RSS

© 2023   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*