Tulonge

Ndugu zangu wanatulonge" tabia ya baadhi ya wanaume wengi waliooa kutoka nje ya ndoa zao na wanawake tofauti tofauti, inasababishwa na nini? je nikuto kuridhika na wake zao, hawana tena mapenzi na wake zao, au ni hulka zao?

Views: 1869

Reply to This

Replies to This Discussion

Kwa haraka haraka naweza kusema kiwatoacho nje ni kwa sababu pengine ni kwa sababu wake zao kutozingatia suala la kujiweka kimvuto.ikiwa mkeo hajijali,hazingatii kujilemba unadhani mwanaume gani atatishika na wewe.!!!

Sisemi hiyo ndio sababu ya pekee ya mume kutoka nje ya ndoa bali ni sehemu ya sababu hiyo.Na kutoka kunaweza kukasababishwa na dharau ya mke,kutajali mumewe na kumthamini.Mumeo anakuja hujashinda nae tangu morning badala kumpokea kwa basha basha,na batasamu,ukaamka na kumpokea,na vitu kama hivyo unaishia kubweteka,hayo yote akiwenda mtaa wa kati akafanyiwa na mwingine keshbo atakuhama,maana ataona hyuyo ndiye mwenye heshima.Na kitu kingine ni mwanamke kuzidisha maudhi ndani ya nyumba ,kila wakati kele kele na mumewe,mume mpajka anachoka anamua kwenda zake kwa bibi mdogo kule kunduchi.

chalii nimekusoma, lakini wanaume wengi hutoka na wanawake ambao hata hawana mvuto kulinganisha na wake zao, pia unakuta mwanaume leo anatoka na mwanamke huyu kesho unamkuta na mwanamke mwnigine.; na pia kumekuwa na tabia ya wanaume wengi sasa kuwa na mausiano ya kimapenzi na wasichana wa kazi za ndani ambao wengi huwa wala hawana kujiremba wala nini.

Yawezekana ikawa ni sababu hizo mbili ulizozitaja, HULKA NA KUTORIDHIKA.

Ni kweli kuna wanaume wengine wanatoka nje na mwanamke asiye na mvuto kabisa au mwanamke ambaye tabia yake si nzuri na anajulikana mtaa mzima kwa tabia mbaya.

Olivia Lyatuu said:

chalii nimekusoma, lakini wanaume wengi hutoka na wanawake ambao hata hawana mvuto kulinganisha na wake zao, pia unakuta mwanaume leo anatoka na mwanamke huyu kesho unamkuta na mwanamke mwnigine.; na pia kumekuwa na tabia ya wanaume wengi sasa kuwa na mausiano ya kimapenzi na wasichana wa kazi za ndani ambao wengi huwa wala hawana kujiremba wala nini.

Hahahahhaaaaa Alfan hebu njoo umalize kazi hapa, najua utakuwa na jibu sahihi.

Pia Kunambi unaweza ukatusaidia katika hili

Ha haa haaa.... kwanini Alfan? Dismas ukidundwa mie simo. Ha haa haa

haya Alfani mimi nasubiri umalizie kama tulonge alivyopendekeza.

Haaaaaaa.....mvuto wa mwanamke anayeujua ni mwanaume bana....unaweza kudhani hana mvuto kumbe mwenzio ndo kazimikia vibaya.....anamfanyia mbwewmbwe...na mahanjumati huko gizani hadi kidume kinadata. Lakini swala la kutembea na beki 3 hiyo kwakweli ni dhambi alafu unamchoresha mkeo vibaya mno.

ni kweli usemalo grat, kwamba mvuto wa mwanamke anaujua mwanaume, lakini sasa huyo mwanaume anavutiwa na kila mwanamke? leo anavutiwa na house girl kesho muuza mandazi kesho kutwa muuza baa, wiki ijayo unamkuta na kident  yaani vurugu tupu huyu naye unamweka kwenye kundi gani? huyo mwanamke wake alimuoa wa nini? au ndiyo yale ya kuoa ni sheria? anaoa tu ili na yeye awe kwenye kundi la waliooa.
 
Gratious Kimberly said:

Haaaaaaa.....mvuto wa mwanamke anayeujua ni mwanaume bana....unaweza kudhani hana mvuto kumbe mwenzio ndo kazimikia vibaya.....anamfanyia mbwewmbwe...na mahanjumati huko gizani hadi kidume kinadata. Lakini swala la kutembea na beki 3 hiyo kwakweli ni dhambi alafu unamchoresha mkeo vibaya mno.

hahaa huu wimbo hadi mwanangu wa miaka miwili huwa ananiimbia. mtoto kaona mengi huyu.
 
Gratious Kimberly said:

Reply to Discussion

RSS

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*