Tulonge

Ndugu zangu wanatulonge" tabia ya baadhi ya wanaume wengi waliooa kutoka nje ya ndoa zao na wanawake tofauti tofauti, inasababishwa na nini? je nikuto kuridhika na wake zao, hawana tena mapenzi na wake zao, au ni hulka zao?

Views: 1899

Reply to This

Replies to This Discussion

Dis umeanza umeniona mm tu hah hah@Dis

Sasa kaka yangu na wale waume wanaoacha wake zao ndani na kwenda kuvia wanawake vichaa au walemavu omba omba nao tusemeje? Nasikia wanaume wanaolala na hao vichacha wanaoshinda barabarani baadhi yao wana kazi zao na ndoa zao.. sasa hapo inakuwaje?


Gratious Kimberly said:

Haaaaaaa.....mvuto wa mwanamke anayeujua ni mwanaume bana....unaweza kudhani hana mvuto kumbe mwenzio ndo kazimikia vibaya.....anamfanyia mbwewmbwe...na mahanjumati huko gizani hadi kidume kinadata. Lakini swala la kutembea na beki 3 hiyo kwakweli ni dhambi alafu unamchoresha mkeo vibaya mno.

Nadhani jibu sahihi kimie - mke mmoja hawezi kutosha Mume MMOJA.

Kuna siku unaombwa zisizoombeka na kusubiri mpaka urudi katika 'form' sasa hapo wapi bwana apeleke maombi yake ?

Ndio, sisi muslim tukapewa hukumu ya kuwa na zaidi ya mke mmoja.

Ingawaje , fursa hii inapelekea kutotumika vyema ndio kujenga NYUMBA NDOGO.

IFAHAMIKE MAUMBILE YA MWANAMME- SHIDA ZAKE HAZIMALIZIKII KWA BIBI MMOJA.

Tujiulize kwani umalaya ni nini ?

Ni tabia chafu ya kuwa na vimada wengi ,ama ni kitendo cha kujisaidia nje ya ndoa.HAPA NAPO NIKIPATA JIBU ,maelezo yangu yataongezeka.

Kama zaidi iko na mie nipo.

KWAHERI HERI YA MWAKA MPYA.....

  Pole sana kama  yamekukuta haya Manka!

Mwanamke na mwanaume tumeumbwa tofauti kwa jinsia.

Na wote tumeumbwa tuweze kucheza ngono.

Mwanaume ameumbwa na mipira miwili ( 2balls).

Na kila mpira unatumiwa au kuchezwa uwanja mmoja tu.

Kuna aina mbili za wanaume wacheza :- Amateur na professional.

Hawa professional ni wale wenye ball control....wasiocheza nje ya ndoa.

Amateur ni wale ambao hawana control, hucheza popote tu ili mradi kuna ile iitwayo I.P.P. (ITCHY PUSSY PITCH). Awe house girl, bibi mzaa babu, kilema, muuza kisamvu nk.eddie said:

  Pole sana kama  yamekukuta haya Manka!

Mwanamke na mwanaume tumeumbwa tofauti kwa jinsia.

Na wote tumeumbwa tuweze kucheza ngono.

Mwanaume ameumbwa na mipira miwili ( 2balls).

Na kila mpira unatumiwa au kuchezwa uwanja mmoja tu.

Kuna aina mbili za wanaume wacheza :- Amateur na professional.

Hawa professional ni wale wenye ball control....wasiocheza nje ya ndoa.

Amateur ni wale ambao hawana control, hucheza popote tu ili mradi kuna ile iitwayo I.P.P. (ITCHY PUSSY PITCH). Awe house girl, bibi mzaa babu, kilema, muuza kisamvu nk.

 hahahahaaaa!! edie coment yako imeniacho hooi kweli,

Reply to Discussion

RSS

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*