Ni furaha kubwa sana kwangu kuona libeneke la lugha yetu ya kimatumbi inazidi kupamba moto katika mitandao jamii kama hii.shukrani za dhati kwake Dismas kwa kulianzisha libeneke hili la Tulonge kwani ni muendelezo mzuri wa kuikuza lugha yetu hii hadhimu na hadimu.
PamoJah sana katika hili.