Tulonge

Washindi wa shindano la PamoJah tshirts wapata zawadi zao.


Hawa ndiyo waliojinyakulia zawadi ya tshirt+vocha ya 5000(kwa mshindi wa kwanza) na tshirt moja pekee(mshindi wa pili).

Views: 890

Reply to This

Replies to This Discussion

Hongereni sana.
Jamani natamani na mimi nipate,hongereni
Jamani hongereni japo roho inaniuma sana,nakumbuka mimi nilipoata 1/10.

kiroho kinauma kaka Severin, ucjali next time maswali ya kija natumai utapata yote najua umejipanga kivingine, nasikia ulifumba macho ukawa una point safari hii jitahidi kuyasoma maswali usibahatishe.

 

Hongereeeeeeeeeeeeeeni saaaaaaaaaaaaaaana

Hongeren sana vijana,Severin unatakiwa ule msuli kuanzia sasa pamoja na Diana

Mi nashukuru tujitahidi kuwa tunatupia macho kwenye home page na mambo mengine yanayopatikana ndani ya TULONGE (Kijiji chetu hicho!!!) Asanteni sana wadau

 

Pongezi kwenu,mmependeza
ahsanteni saaaaaaana wadau kwa hongera zenu zimefika
Godson pamoja na Silas, mmefunika mbaya!

yap yap yap me natowa pongezi za dhat kabisa kwakuwa nami nilikuwemo kwenye ushindani

mashindano yalikuwa magumu sana kweli mnastahili pongezi 

amani kwenu wa2 wangu 2po pamojah mazee.

Asanteeeeee DadaJoan said:

Pongezi kwenu,mmependeza
Powa kaka, sisi tuko pamoja. Hakika kijiji ni chetu wala, kesho huenda ikiwa zamu yako

Omary said:

yap yap yap me natowa pongezi za dhat kabisa kwakuwa nami nilikuwemo kwenye ushindani

mashindano yalikuwa magumu sana kweli mnastahili pongezi 

amani kwenu wa2 wangu 2po pamojah mazee.

Reply to Discussion

RSS

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*