Tulonge

Washindi wa shindano la PamoJah tshirts wapata zawadi zao.


Hawa ndiyo waliojinyakulia zawadi ya tshirt+vocha ya 5000(kwa mshindi wa kwanza) na tshirt moja pekee(mshindi wa pili).

Views: 1034

Reply to This

Replies to This Discussion

Hongereni sana mazee, wote tulikwepo kwenye shindano bali nyie ndio mliobahatika kushinda,

next time ntajitahidi nami nipate hata form six-pamojah.

Hongera sana,

Pamojah inawezekana.

daaah....dooonge mpaka basi..fulana ningeva lakini hiyo buku tano ningeomba tu nipewe cash nifanyie matumizi mengine. washkaji mmebamba..
hongereni saana!!
Thanks Chaoga & Patrick!!!
Imetulia hiyo.. Hongereni sana. PamoJah
hongereni sana, mko juu sana
ila shindano linalokuja mkae sawa maana, ninahasira na tisht, na buku gwara la vocha, nakula matizi kabisa kwa maswali.
Kaka usijali, inawezekana kismati kikawa chako next time. Mwanangu dili kishenzi Buku gwara hilo nimeongea na bibi, babu, bibi yake na babu na rafiki zangu wa mikonze!!

Reply to Discussion

RSS

© 2023   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*