Tulonge

Waswahili na Kiswahili msaada tafadhali!!!!!!

Naomba tafsiri ya sentensi hiiii katika kiswahili

"finish eating, and then I shall  eat you"

Views: 1363

Reply to This

Replies to This Discussion

ngoja kwanza narudi....sijui iko kamusi gani........

sorry for typing error inatakiwa isomeke hivi

"finish eating, and then I shall eat you"

Don hayo marekebisho ya sentesi yako si ungeyafanya hapo juu kabisa kwenye mjadala wenyewe.Itakuwa ngumu kwa baadhi ya watu kuona marekebisho haya.Nenda kwenye Options then Edit Discussion:-

Don M said:

sorry for typing error inatakiwa isomeke hivi

"finish eating, and then I shall eat you"

Dismas nimekupata pc nilotumia kipindi naanzisha huu mjadala haina plugs za kutosha hivyo haikunipa nafasi ya editing, ndo maana nikaona niokoe jahazi kwa mtindo huyo. yote ilikuwa ni kuwepa critics za ohhhh mbona sentensi yenyewe ina makosa!!!!!

Nimekusoma kaka, hata mimi nilishangaa.Inawezekana vp mzee wa mautundu usione sehemu ya ku-edit.

Don M said:

Dismas nimekupata pc nilotumia kipindi naanzisha huu mjadala haina plugs za kutosha hivyo haikunipa nafasi ya editing, ndo maana nikaona niokoe jahazi kwa mtindo huyo. yote ilikuwa ni kuwepa critics za ohhhh mbona sentensi yenyewe ina makosa!!!!!

Mimi najaribu,ole wake mtu anicheke.Maana naona watu mnachungulia halafu mnasepa.

Nahisi itakuwa hivi Maliza kula,halafu nitakula wewe.

Sidhani kama inatakiwa kuwa hivi,

Maliza kula,halafu nitakukula wewe.

hahahaaa..duh!sikuiona hii..maliza kula,halafu nitakula wewe,sijui kulikua namazungumzo gani hapo yaliyokua yanaendelea?

mbona hakuna anayenisaidia inamaana hakuna tafsiri ya kiswahili kwa tungo hiyo?

wako wapi akina IL-YA, Chaoga , Mama malaika, Christer, CHA na wengine wengi magwiji wa kiswahili. KULIKONI JAMANI????????????????

Ishu ngumu hii kaka, watu wanachungulia then wanasepa.

Don M said:

mbona hakuna anayenisaidia inamaana hakuna tafsiri ya kiswahili kwa tungo hiyo?

wako wapi akina IL-YA, Chaoga , Mama malaika, Christer, CHA na wengine wengi magwiji wa kiswahili. KULIKONI JAMANI????????????????

Hhahahaaaaaa Eddie acha uongo ww.

eddie said:

Du hapa hapatatosha, mazungumzo yalikuwaje kufikia hapa kutishinana kutafunana! Hahahaha!

Tusije tukatafsiri kama mswahili mmoja aliye tembelea uingereza akauliza, Where is the nearest petrol station, alijibiwa, " Go ahead you will find it after 2kms.

Mswahili ilibidi atelemke na kuanza kuburuza kichwa barabarani hahahaha!

E bwana eee,kumbe mtaa huu kuna kamjadala poa,nilikuwa sijachungulia sehemu hii,na sasa ni wakati wa kudondosha jibu kama ifuatavyo:

Finish Eating: Maliza kula

And then I shall eat you: Kisha mimi nitakula wewe.

Maliza kula,kisha mimi nitakula wewe!.

Hicho nadhani ndio kiswahili chake,hata ukiwauliza akina shigongo lazima nao waanguke kwenye jibu kama hilo.

Ilya kwa nn isiwe Maliza kula,kisha nitakula wewe!. Sidhani kama kuna haja ya kuweka neno mimi wakati hata bila hilo neno maana inabaki hiyo hiyo. Unnecessary repetition.

Chalii_a.k.a_ILYA said:

E bwana eee,kumbe mtaa huu kuna kamjadala poa,nilikuwa sijachungulia sehemu hii,na sasa ni wakati wa kudondosha jibu kama ifuatavyo:

Finish Eating: Maliza kula

And then I shall eat you: Kisha mimi nitakula wewe.

Maliza kula,kisha mimi nitakula wewe!.

Hicho nadhani ndio kiswahili chake,hata ukiwauliza akina shigongo lazima nao waanguke kwenye jibu kama hilo.

Reply to Discussion

RSS

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*