Tulonge

Siku moja kwenye daladala mtoto wa nursery akiwa ndani ya daladala akaanza kuimba hivi "

Kama baba angezaliwa Jogoo na Mama Kuku mimi ningekuwa kifaranga.

Kama baba angezaliwa  Ng'ombe dume na mama jike mie ningekuwa ndama.

Kama baba angekuwa nguruwe na mama nguruwe nami ningelikuwa nguruwe.

Konda akaona huu uzushi akamwambia we dogo mbona unatuzingua na huo wimbo wako je baba yako angekuwa MLEVI na mama yako MALAYA ungekuwa nani?

Mtoto akajibu ningekuwa "KONDA" kama wewe watu wote wakavunjika mbavu kwa vicheko

Views: 517

Reply to This

Replies to This Discussion

Hahahahaahahaaa konda alitaka kujifanya kujua,akakutana na mjuaji zaidi yake. Ina maana Baba wa huyo konda ni mlevi na mama yake ni malaya teh teh teh safi sana dogo.

Hahahahahah....duh hiyo tamu....huyo konda agekuwa Magufuli   angempandishia dogo nauli ya Daladala  tehtehteh!!

Hah ahhaa haa......safi sana hii nimependa, pia imeniongezea siku za kuishi maana nimecheka sana.....hasa kwa hao makonda huwa wanajifanya wajuaji sana, sasa aipatikana.

Hahahaahhahaaaa safi dogo

Reply to Discussion

RSS

© 2023   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*