Mama mmoja alimshuku mume wake anatembea na house girl, siku moja mume bila kuwa na taalifa mama akampa ruhusa ya week house girl akaone wazazi wake ili amteg mumewe, usiku kabla mume hajarudi ktk mishemishe mama akajichomeka chumbani mwa yule house girl akazima taa na kujifanya amelala mara akasikia mtu anajiingiza chumbani na kumparamia, mapenzi moto moto yakaanza jamaa kumaliza 2 mama akamwambia enhee siku zote nilikuwa nakutega leo nimekukamata ile kuwasha taa ili amumbuwe mumewe akakuta ni mlinzi wao, je wewe ungefanyaje?
Tags:
Hahahahahah tehtehtehteh Dixon unaivunja mbavu eti unatamani ungekuwa mlinzi?! unaona mlinzi kafaiiid wakati mwenzio kibaruwa kipo matatani unafikiri mzee aking'atuka kitaeleweka? patachimbika me ningemshauri mather apige kimya amwambie mlinzi kila kilichotendeka iwe kama bahati mbaya mikausho mikali life lisonge.
ha ha ha haaaa.. kweli kabisa! mi natamani ningekuwa huyo mlinzi, kwani huyo mama hawezi kusema kwa mzee wake kilichotokea.. hivyo mi nitaendelea kupeta tu.. teh teh teh...
Omary said:
Hahahahahah tehtehtehteh Dixon unaivunja mbavu eti unatamani ungekuwa mlinzi?! unaona mlinzi kafaiiid wakati mwenzio kibaruwa kipo matatani unafikiri mzee aking'atuka kitaeleweka? patachimbika me ningemshauri mather apige kimya amwambie mlinzi kila kilichotendeka iwe kama bahati mbaya mikausho mikali life lisonge.
i ina maana hakuwea tofautisha mapigo ya mlinzi na ya mumewe? Kwa mwanamke alikaa na mtu hata wk mapigo atayajua. Huyo mama alinogewa na swaga za mlinzi tu.
Kansas mwenyewe mtegoni
© 2023 Created by Tulonge.
Powered by