Tulonge

KUNA MHINDI MMOJA ALIKOJOA MAHALI PASIPORUHUSIWA,AKAKAMATWA NA KUTAKIWA KUTOA FAINI 10,000/=,AKATOA 15,000/=,AKAULIZWA"MBONA UMEZIDISHA?AKAJIBU"WAKATI KOJOA IKO JAMBA KIDOGO"

Views: 516

Replies to This Discussion

Hahahaahahaahahahahaahahhhaahahahahahahahahahahaahhhahhhaahahhahaahhaahahahaaaaaaaaaaa hv wewe Chaoga una akili nzuri. Aisee hii tulonge inaweza sababisha mbavu zangu zivunjike

mhindi katoa na faini ya kuchafua hali ya hewa....teh teh teh...

HA HA HA HAH AHAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA..

Huyo muhindi nimsema kweli kwani mara nyingi watu wakiwa wanashusha haja ndogo kwenye public place utasikia na sound ya kijampo juu.. hahahaha

hahahahahaha! HUyo atakuwa "muhindi kichaa"...

RSS

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*