Tulonge

Babu anamwambia mjukuu jifiche umetoroka shule mwalimu wako anakuja, mjukuu akajibu jifiche wewee maana nilimuaga naenda  kwenye msiba WEWE UMEKUFA......!!

Views: 726

Replies to This Discussion

ha ha haaaaaa.uongo kazi.

hahahahahahaha! babu anaweza kumuua huyo dogo....

HA HA HA HA MMEONA EEH WATOTO WA SIKU HIZI MAJINIASI...

Ha haa haa haa haa haaa...... mbavu zangu zinauma. Natamani kuona uso wa huyo babu alivyo react baada ya kujibiwa na mjukuu wake... Ha haa haaa

Hahahahhaahaaa hapo mwalimu anaweza kutoka nduki, maana atahisi babu amefufuka ghafla.

Mwalimy lazzima atoke nduki babu kafufuka

hahahaa! hawa watoto wakipindi cha JAKAYA bwana, mijinias kweli.

 

hahaaa.. huyo mjuu hamnazo kabisaaa.... hahaa

RSS

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*