Babu anamwambia mjukuu jifiche umetoroka shule mwalimu wako anakuja, mjukuu akajibu jifiche wewee maana nilimuaga naenda kwenye msiba WEWE UMEKUFA......!!
Tags:
ha ha haaaaaa.uongo kazi.
hahahahahahaha! babu anaweza kumuua huyo dogo....
HA HA HA HA MMEONA EEH WATOTO WA SIKU HIZI MAJINIASI...
Ha haa haa haa haa haaa...... mbavu zangu zinauma. Natamani kuona uso wa huyo babu alivyo react baada ya kujibiwa na mjukuu wake... Ha haa haaa
Hahahahhaahaaa hapo mwalimu anaweza kutoka nduki, maana atahisi babu amefufuka ghafla.
hahahaa! hawa watoto wakipindi cha JAKAYA bwana, mijinias kweli.
hahaaa.. huyo mjuu hamnazo kabisaaa.... hahaa
© 2021 Created by Tulonge.
Powered by