Wavuta bangi wawili waliliona Embe juu ya mti wakaamua kuliangusha!!
Walirusha Mawe mengi Bila kufanikiwa kuliangusha lile embe. Mvuta bangi mmoja akasea :
Isije ikawa embelenyewe bichi, ngoja nipande juu nikalicheki.
Baada ya dakika 5, yule mvutabangi akashuka chini, akamwambia mwenzie;
Oyaaaah.. nimelibonyeza limeiva vizuri kabisa, Tuendelee kuliangusha mchizi wangu!!!!
Tags:
hahahahaahahaha! kweli bangi ni noma yaani akili ya kulichuma kwa mkono haikuwepo kabisa.
Hahahaaa.. jamaa kaligusa alafu kaiacha kashuka aendelee kulitungua kwa mawe.. hahahaaa
© 2023 Created by Tulonge.
Powered by