Mmasai kaibiwa simu disko, mara akazimisha mziki ghafla!! Akatangaza aloiba simu arudishe lasi hivyo NITAFANYA KAMA MWAKA JANA, kibaka kwa hofu akarudisha ile simu. Watu wakamuuliza Mmasai mwaka jana ulifanya nini? Mmasai akajibu.. NILINUNUA SIMU NYINGINE MPYA. Kibaka akasema "Shit."
Tags:
ha haa haaaa haaaaaa.
Dang! Naona kibaka alijiona mjinga wa mwisho duniani
Hahahhahhaaaaaaa kumbe mkwara unasaidia sometimes.
Kwa nn katika mambo ya ushamba huwa mnapenda kuwatumia wamasai? Wao ni washamba sana?
Hata mimi na shangaa kwanini utani mweingi unaangukia kwa hawa ndugu zangu.. HA HA HAAAA
Tulonge said:
Hahahhahhaaaaaaa kumbe mkwara unasaidia sometimes.
Kwa nn katika mambo ya ushamba huwa mnapenda kuwatumia wamasai? Wao ni washamba sana?
© 2022 Created by Tulonge.
Powered by