Hakimu: Jina lako nani?
Bubu: Alishika koo lake(KO) NA sehemu yake ya kiume
Hakimu: Unaitania mahakama. Na unajua ni kosa linaloweza kukuweka ndani kwa miezi 3 au faini ya Tsh100,000/=
Mkalimali: Ana maana jina lake ni ''KOMBO''
Watu wote mahakamani mbavu hawana!
Tags:
DAH SI MCHEZO HA HA HA HA
HAHAHAHAA... KO na MBO!!! hahahahahaaa
LAKINI JAMANI NAYE HUYU BUBU HAJUI KISWAHILI VIZURI KWANI NI MBO AU UBO....... NA YEYE KAKOSEA JINA LAKE
Hahaahahhhhhahaaaaaa Angela unaniumiza mbavu zangu!!!!!!!!!
ha ha ha ha duuh lugha za alama ngumu sana aisee...
hahahahaa.. Angela umemaliza kabisa hahahahaaa
Teh teh teh Angela yaelekea upo familiar sana hicho kiungo. Maana umefanya uchambuzi mzuri sana wa jina lake.
Ha haa haa haa haa haa haaaaaa..... ANGELA unanimaliza kwa kucheka hadi napaliwa!!
ANGELA JULIUS said:
LAKINI JAMANI NAYE HUYU BUBU HAJUI KISWAHILI VIZURI KWANI NI MBO AU UBO....... NA YEYE KAKOSEA JINA LAKE
Hahahahahaaa....
Tulonge said:
Teh teh teh Angela yaelekea upo familiar sana hicho kiungo. Maana umefanya uchambuzi mzuri sana wa jina lake.
© 2023 Created by Tulonge.
Powered by