Mwanamke alikuwa amepozi zake kwenye Bar.
Kulikuwa ndani yake na mwanaume anamfukuzia mwanamke huyo.
Mwanaume huyo akamstua kwa Kimombo:
Hi,honey. Want a little company?.
Mwanamke akamjibu:Kwa nini?
Kisha nae akamuuliza mwanaume huyo kwa kimombo:
Do you have one to sell ?.Hahahahaah
Tags:
hahahahaahaha! Mind your language....!
Duh,namna hiyo demu alikosa bahati na kupoteza Company hivi hivi kwa sababu ya Lugha.
hahahaaaaaaaaaaaaaa! kweli kwenye site hii inatakiwa uwe na nguzo za kujizuia kuanguka wakati wa kucheka.
ndo yale yale.. eti mimi na wewe tunafotokopi tugeza!! akiwa anamaanisha kuwa wanafanana pamoja.. hahahaaa lugha za watu jamani..
© 2021 Created by Tulonge.
Powered by