Dogo katumwa magazeti na Dingi
Alipoyafikisha nyumbani akayaweka kwenye friji
BABA,wewe dogo magazeti yapo wapi
DOGO,yapo kwenye friji
BABA,hivi wewe una akili,kwanini umeyaweka kwenye friji
DOGO,Baba nataka yapoe maana yameandikwa HABARI MOTOMOTO
Tags:
MySpace Tweet Facebook
Views: 571
Huyo dogo hazimtoshi.. hahaaaa
Teh teh teh kweli kabisa, yasije yakaunguza watu
Bangi kweli haha haha
Dogo kichwa kimetulia hakutaka babake aungue na hbr motomoto.
RSS
Welcome toTulonge
Sign Upor Sign In
Or sign in with:
© 2023 Created by Tulonge. Powered by
Badges | Report an Issue | Terms of Service
Please check your browser settings or contact your system administrator.