DOGO alikuwa katika usingizi mzito AKAOTA anatafuna PAPAI, akalitafuna mpaka likaisha... Ghafla akaona nazi, akajaribu kuivunja akashindwa akaona heri aitafune tu kwa meno, ile anaanza tu, akaamshwa kwa BONGE la KOFI toka kwa baba yake.
BABA: Pumbafu mkubwa, umetafuna mto nakuangalia, umemaliza sasa unaanza kunitafuna kichwa changu mjinga mkubwa wewe
Tags:
Teh teh teh je dogo angeota anakula ndizi? c ingekua balaa
Hahahaaaa, dogo noma....angeota anakula ndizi ingekua janga aiseee:)
ha ha ha ha ha huyo dogo wa namna hio hafai kulala na mtu teh teh teh teh....
rama umenichekesha aiseee ha ha ha angeota anakula ndizi saa hizi majanga
Remmy Benson Mganga said:
Hahahaaaa, dogo noma....angeota anakula ndizi ingekua janga aiseee:)
Hahahaaaa.....Chaoga kweli kabisa dogo wa namna iyo hafai kulala na mtu :)
chaoga said:
ha ha ha ha ha huyo dogo wa namna hio hafai kulala na mtu teh teh teh teh....
© 2023 Created by Tulonge.
Powered by